Edo Kumwembe: Diamond Platnumz ni brand kubwa kuliko Klabu ya Simba

Edo Kumwembe: Diamond Platnumz ni brand kubwa kuliko Klabu ya Simba

Edo kaanza kuwa na tabia kama mshiriki WA mapenzi ya jinsia moja..
 
Udhamini anaopata Diamond kutoka hayo makampuni ni kiasi gani na simba udhamini wao ni kiasi gani ndo ujue unalinganisha mbingu na ardhi

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Lazima ujue mahesabu ya kihasibu.
Matumizi na mapato kisha uangalie nani anapata hasara na kuongeza madeni na nani anapata faida baada ya hesabu husika.
Angalia return of investment zao kati ya hao wawili.
 
Hawa utopolo ni wapumbavu,sisi Mo alipost instagram hakuna hata aliyemlilia au kuhangaika naye aliachwa tu,mwenyewe akaomba msamaha siyo mashabiki na club wamlambe miguu kama utopolo walivyofanya kwa gsm

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Wazee hawakulala siku hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond ni mtu binafsi na simba ni Taasisi huwezi kufananisha
Lazima ujue mahesabu ya kihasibu.
Matumizi na mapato kisha uangalie nani anapata hasara na kuongeza madeni na nani anapata faida baada ya hesabu husika.
Angalia return of investment zao kati ya hao wawili.

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Utopolo gsm alipowandikia barua mbona mlimbembeleza hadi mwezi mzima,sisi Mo alipotishia aliachwa tu mwenyewe akaomba msamaha,simba ni taasisi habembelezwi mtu

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Muongo ww yaani unataka kutuambia Mwamedi hana impact Simba kipindi kile hamjachukua kombe thrid year kelele za Mo rudi simba zilikuwa za nani?friends simba wenyewe wanashindwa kuendesha timu mpaka Sasa mnajitia mmewafunga member zao eti wamekula hela za okwinyo aliposajiliwa Tunisia, kwa kifupi akiobdoka Mwamedi mtatuletea wakina Nkanu mbiyanga wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunazungumzia BRAND sio udhaminiwa. 5imba inalipiwa mishahara na Mwamedi, mkimuudhi anapost kususa instagram, Platnumz ni brand kubwa
Wewe unatumia akili zako kweli, unapozungunzia Brand, simba ni kubwa, ina mashabiki wengi popote Tanzania.
Pili ina uhakika wa kuendelea kudumu miaka mingi na mashabiki wanaozaliwa kila siku.

Diamond, baada ya miaka kumi wenda tukanza kwa watakao kuwa hai, wenda wakawa wanaongea mwanamuziki wa zamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ni shabiki poyoyo

Back
Top Bottom