kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
- Thread starter
- #21
Hakutarajia unamaana kuwa mfungaji alipiga mpira akiwa amefumba macho ama?Hata mfungaji hakutarajia ndio maana alishangilia kama kachukua ubingwa. Namkubali saana Aziz Kii, sina ubishi na ufundi alionao ila lile sio goli la kuanzishia thread.