Edo Kumwembe na uchambuzi wa goli la Azizi Ki

Edo Kumwembe na uchambuzi wa goli la Azizi Ki

😄 Acha wivu basi
Goli la ngekewa kabisa kaka mkubwa. Any way hongera kwake bila kumsema sema humu watu wakampelekea asingepata morali wa kutaka kufunga. Ila pia Mayele asimbanie huyu Aziz anaonekana ana kitu miguuni yani ukimuona tuu anavyocheza
 
Kolo tulia basi, si mnacheza leoo??
 
Migoli kama ile nikiipigaga hapa kitaa lakini bado wananichukuliaga poa...akhsante sana fundi mwenzangu aziz ki...bila shaka sasa wataanza kunielewa
 
Halafu hilo goli la pili huyo manyele si angempa pasi mwenzie Aziza alikua kwny position nzuri tuu mpk ahangaikee afunge mwenyewe. Kiatu cha mwaka jana kinamsumbua sana kichwa
Mayele is selfish
 
Hapa unakili hujaliona hilo goli halafu unashupaza shingo kuchangia kitu usichokijuwa, wewe kichwani ni mzima kweli?
😂 😂 Goli limeelezewa kwa maandishi hapo, mimi mpira nimeucheza, nimeanza kuanglia miaka isiyojua watu. Nimegundua ni goli aina ya kupress, shida yako nini sasa ndugu, mbona unaandika kwa mihemko kama huna KENDE, ina maana maelezo ya hapo ushindwe kujua ni kiru gani..
Hasira za wake zenu msizilete humu mzee.
 
Kwani kipa uwanjani huwa anakwenda kufanya nini?

Yesu alipotembea juu ya maji wapo wapumbavu na wenye wivu kama wewe walisema kwakuwa hajui kuogelea ndio maana anatembea juu maji.

Jinga limited.
Aiseeee
 
Mkumbuke na kipa ni shikhalo eeh
Aziz ki bado tunamdai he is damn overrated
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwaka huu sio mpolee, ni Phiri yuko kwa ajiri ya kiatu hicho,

Mgonjwa wa degedege, tabu iko pale pale weraaaaaah.
Na pia ni wakati wa huyo phiri naye kwenda mikoani sasa akapaone panafananaje..[emoji12]
 
Hyu edo uwa ni mfuta upepo tu na masimulizi yake ya kutunga, kipindi kila Dube yupo onfire alikua anamsifia sana na mifano yake ya kike kike, Dube alivyopotea jamaa akamtelekeza, sasa kaanza ngonjera zilezile kwa Aziz

Jamaa linajionaga smart na kichwa chake kama boga bichi kumbe ni bonge la ndina
 
Msimu uliopita De Gea alifungwa na Liverpool goli linalo fanana na hilo. Unaweza Dhani goalkeeper ni mzembe kumbe mpira unakuwa mbali
 
View attachment 2356180

Haji Manara naye na uchambuzi wake

Hajis Manara, "Muitaliana Roberto Baggio alifunga goli kama hili kwenye Seria A Msimu wa 1991/92 na liliimbwa sana hilo goli duniani".

George Hagi, Mromania Star zaidi katika football na aliyetamba sana World Cup ya 1994 kule USA, alifunga goli kama hilo wakati akiitumikia Barcelona. Ilikuwa ni Mechi baina ya Barca na Granada kwenye kombe la Mfalme. Hagi alipasia kwa kuuswitch mpira kwenye nyavu ndogo, ilikuwa ni hadithi ya ukumbusho wa goli la Baggio.

Lakini bingwa wa kupasia nyavu duniani alikuwa Gary Lineker, Muingereza aliyetamba na Tottenham, Everton na Barcelona, style hii ya kufunga aliipenda sana na ilizoeleka Kwa kila shabiki wa soka kwa wakati huo.

Mabibi na Mabwana, sasa namleta kwenu Aziiz Stephen Kii, namba 10 mgongoni na style ile ile ya Lineker, Hagi na Baggio, hao pia walikuwa wavaa jezi namba 10 kama anayovaa Aziz.

NB: Sorry nimewakumbusha story ambazo hamwezi kupewa na wachambuzi wa mchele, ni lazma uwe umeiishi football ndio hata uwajue kina George Hagi wa dream team ya Barcelona Ya mwaka 1992.

@az_stephane10 🙌

#Bugati
Inachefua kuona makanjanja wengi sana kwenye fani ya uchambuzi wa soka!! Mtu ambaye hajawahi kucheza mpira ilkwa kiwango cha juu wala hajawahi kuwa kocha wa klabu iliyo kwenye kiwango cha juu halafu anatokea alikotokea na kujiita mchambuzi wa soka ANACHEFUA SANA! Kina Kumwembe na wenzako mtuelewe!! Kumwembe lini uliujua mpira hata ukafaa kuwa mchambuzi wa soka??
 
Hyu edo uwa ni mfuta upepo tu na masimulizi yake ya kutunga, kipindi kila Dube yupo onfire alikua anamsifia sana na mifano yake ya kike kike, Dube alivyopotea jamaa akamtelekeza, sasa kaanza ngonjera zilezile kwa Aziz

Jamaa linajionaga smart na kichwa chake kama boga bichi kumbe ni bonge la ndina
Mwanaume hawi na wivu wa mafanikio ya mwenzake Kwa namna hii,jitathimini ndugu yangu mara nyingine bora unyamaze.
 
Inachefua kuona makanjanja wengi sana kwenye fani ya uchambuzi wa soka!! Mtu ambaye hajawahi kucheza mpira ilkwa kiwango cha juu wala hajawahi kuwa kocha wa klabu iliyo kwenye kiwango cha juu halafu anatokea alikotokea na kujiita mchambuzi wa soka ANACHEFUA SANA! Kina Kumwembe na wenzako mtuelewe!! Kumwembe lini uliujua mpira hata ukafaa kuwa mchambuzi wa soka??
Daah!! Wivu mbaya sana. Nenda ukamuulize Jose Mourinho alicheza wapi mpira wa ushindani mpaka ajihusishe na mambo ukocha?
 
Back
Top Bottom