Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Kuna taarifa gani kwa Mange kuhusu Huyu jamaa?!
Maskini mkewe sijui atajisikiaje?!
Mkewe anajitahidi kwenda kanisani huku Mwanaume ndio hivyo!
Huruma nyie!
Maskini mkewe sijui atajisikiaje?!
Mkewe anajitahidi kwenda kanisani huku Mwanaume ndio hivyo!
Huruma nyie!