kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
- Thread starter
-
- #21
Hakutarajia unamaana kuwa mfungaji alipiga mpira akiwa amefumba macho ama?Hata mfungaji hakutarajia ndio maana alishangilia kama kachukua ubingwa. Namkubali saana Aziz Kii, sina ubishi na ufundi alionao ila lile sio goli la kuanzishia thread.
Hata Aishi Manula na mwenzake Benno Kakolanya wameshakuwa maduka ya Feisal Salum na Fiston Mayele kwa muda sasa!The fact kipa alikua duka
Haki ya bibi vile na mchanga naramba😆😆😆Apia
Uto mna maneno ya maudhi Sana 😅Kwani kipa uwanjani huwa anakwenda kufanya nini?
Yesu alipotembea juu ya maji wapo wapumbavu na wenye wivu kama wewe walisema kwakuwa hajui kuogelea ndio maana anatembea juu maji.
Jinga limited.
[emoji23][emoji23]Hilo la kipa kutotarajia nalo ni ajabu.......kwani matarajio ya kipa kua pale golini ni kusubiria arushiwe maembe???
Kama kakolanyaThe fact kipa alikua duka
Wajana alikua zaidiKama kakolanya
Ndo akili yenyewe hiyo, unataraji mchezaji mkubwa akuache.The fact ni kwamba kipa hakutarajia kama angepiga otherwise hakuna maajabu.
Hapo sasa.Hilo la kipa kutotarajia nalo ni ajabu.......kwani matarajio ya kipa kua pale golini ni kusubiria arushiwe maembe???
Mzee wa kutetema ataua watu mwaka huu.Halafu hilo goli la pili huyo manyele si angempa pasi mwenzie Aziza alikua kwny position nzuri tuu mpk ahangaikee afunge mwenyewe. Kiatu cha mwaka jana kinamsumbua sana kichwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwaka huu sio mpolee, ni Phiri yuko kwa ajiri ya kiatu hicho,Halafu hilo goli la pili huyo manyele si angempa pasi mwenzie Aziza alikua kwny position nzuri tuu mpk ahangaikee afunge mwenyewe. Kiatu cha mwaka jana kinamsumbua sana kichwa
Atawaua wajinga wasiojua mpira kuna wakati wa kushine kama mchezaji na kuna wakati atafulia haswaaa so ni kipindi chake acha atetemeshe manyonyo,walikuwepo kina kagere kina bocco leo hii grafu imeshuka so haina maajabu.Mzee wa kutetema ataua watu mwaka huu.
Sawa Barbara kologirlAtawaua wajinga wasiojua mpira kuna wakati wa kushine kama mchezaji na kuna wakati atafulia haswaaa so ni kipindi chake acha atetemeshe manyonyo,walikuwepo kina kagere kina bocco leo hii grafu imeshuka so haina maajabu.
Haya kaka mkubwa Haji Topo boySawa Barbara kologirl
C. c Makiwendo Karibu wananchi ona mambo mazuri hayaHilo goli unaweza kuombea mkopo ukalitumia kama dhamana
Hapa unakili hujaliona hilo goli halafu unashupaza shingo kuchangia kitu usichokijuwa, wewe kichwani ni mzima kweli?Sijaliona hilo goli, lakini aina ya magoli ya kupress, yameshafungwa saana hapa, feisal kafunga national team.. Msimu uliopita rally in bwalya alifunga pia zote hizo hazikuwa habari,
Shida nini ni kwakuwa ki aziz hajafunga toka aje ama?