Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Mambo ya mange peleka huko kwenye jukwaa la Wala tunda,sisi huku hata huyo mange mwenyewe hatumjuiKuna taarifa gani kwa Mange kuhusu Huyu jamaa?!
Maskini mkewe sijui atajisikiaje?!
Mkewe anajitahidi kwenda kanisani huku Mwanaume ndio hivyo!
Huruma nyie!
Ona hiki Kiazi, onyesha huo hapo kwenye hilo andikoMwanaume hawi na wivu wa mafanikio ya mwenzake Kwa namna hii,jitathimini ndugu yangu mara nyingine bora unyamaze.
Wewe utakua mchepuko wa Eddo si bure, kila andiko unaandika wivu wivu ka toto la kike, wanaume hatutumii neo wivuDaah!! Wivu mbaya sana. Nenda ukamuulize Jose Mourinho alicheza wapi mpira wa ushindani mpaka ajihusishe na mambo ukocha?
Mbumbumbu next levelWewe utakua mchepuko wa Eddo si bure, kila andiko unaandika wivu wivu ka toto la kike, wanaume hatutumii neo wivu
Umeandika nini hapa we kiande? Halafu matusi yako hayanipunguzii chochote mtoto we mama sema kinachokupa kibri ni kwasababu unaandika tu nyuma ya keyboard unaongea unavyotaka vinginevyo ungebahatika kukutana na mimi usingeweza kunyanyua sauti yako kima wewe.Ona hiki Kiazi, onyesha huo hapo kwenye hilo andiko