Edo Kumwembe: Ningekuwa mshauri wa Mbowe, ningemshauri ajiondoe katika kinyang'anyiro

Edo Kumwembe: Ningekuwa mshauri wa Mbowe, ningemshauri ajiondoe katika kinyang'anyiro

Wajumbe wa mikoa wanaojitokeza kumuunga mkono Lissu hadharani siyo wapiga kura? Utakuwa na tatizo kubwa kichwani kuliko unavyofikiria, tafuta daktari wa afya ya akili.
Achana na huyo kibwengo wa ACT Wazalendo ameweka kambi hapa anafikiri Chadema itapasuka ili waambulie wanachama kama walivyookota dodo CUF ilivyopasuka.
 
Yani huyoo mjinga mmoja apo Wasafi ameshiba makande na viazi vitamu ndo aje atoe ushauri kwa Mbowe kweli???
Mods hizi ni dharau tunaombaa mfutee huuu uzii.
Hivi wewe na yeye nani mjinga? Hana haki ya kujadili siasa za Tanzania akiwa mtanzania?
 
Hivi wewe na yeye nani mjinga? Hana haki ya kujadili siasa za Tanzania akiwa mtanzania?
Ukisoma comments na reactions za nyumbu wa Sultan utaelewa kwa nini wanachama wamemchoka yaani wao mtu ambaye ana mtazamo tofauti na wa Sultan wao anakuwa adui hawama uvumilivu. Sasa watajibeba tarehe 21 mtu wao atakapochinjiwa baharini
 
Ila wanatuhumu wengine hawana ustahamilivu, kama wameshindwa kusoma alama za nyakati unategemea nini.
 
Edo we mshauri baba levo kuhusu kubeti - mbowe ni class nyingine kijana.
 
Hawa ndiyo aina ya washauri wa Mbowe
Chawa wa Mbowe wakina Yericko ambao wanaacha majina ya Wazazi wao wanamshauri akomae mpaka mwisho..
..Niliwahi kusikia watu wanamwambia Mandinga tupo na wewe hadi Wakuue sasa akina Yericko, Boni kyepe..Ntobi kilaza n maranjo ndio washauri wa Mbowe anaowatumia imagine huyo mzee alivyo choka..anaondoka kwa aibu sana..
 
Back
Top Bottom