Sanduku la kura kwa Afrika haliaminiki, mshindwa anakuwa mshindi!!.Mbona mnaogopa sanduku la kura, halafu mbona huyu mbaba mmemshambulia sana badala kueleza sera mbadala tofauti za Mbowe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sanduku la kura kwa Afrika haliaminiki, mshindwa anakuwa mshindi!!.Mbona mnaogopa sanduku la kura, halafu mbona huyu mbaba mmemshambulia sana badala kueleza sera mbadala tofauti za Mbowe?
Sijui nia yako katika kumpotosha Mbowe ila naomba nikuulize swali dogo tu, kwa nini unaamini Mbowe akishinda kutakuwa na utulivu zaidi?Demokrasia ni uchaguzi, tuwaache wajumbe waamuwe.
Nilikuwa namuunga mkono sana Lisu, lakini nchi ni zaidi ya Lisu.
Genge la Lisu halina nia njema na nchi yetu na wala shida yao siyo kuchukuwq dola maana huwezo haupo kwa sasa kwa chama chocote kuitowa ccm madarakani, bali wana movement zao za kushindana na serikali.
Ni Mbowe pekee ndio anaweza kuleta utulivu wa kisiasa nchini.
Lisu hana uwezo wa kuzuia hayo uliyoyasema tusidanganyane, kikubwa anachoweza kufanya Lisu ni kukimbia nchi na Assylum yake Belgium iko active kama ya Lema Canada.Sijui nia yako katika kumpotosha Mbowe ila naomba nikuulize swali dogo tu, kwa nini unaamini Mbowe akishinda kutakuwa na utulivu zaidi?
Kwa hiyo huo utulivu utaendea kulindwa kwa nguvu zaidi kama unavyolindwa hivi sasa kwa utekaji, uteswaji na mauaji na hii ni baada ya kinachodaiwa aridhio?
Come on Dr Matola PhD, you’ve got another think coming! Kuwa na moyo uwaonee japo huruma wanaopotezwa wapendwa wao, kisa? Wanapinga kinachoendelea ndani ya taifa lao!
Lakini Mbowe atazuia au siyo! Kwa hiyo nchi hii imekuwa ya kukimbiwa kama unapiga vita utekaji, utesaji na mauaji. Hivi unajua implication ya unachodai hapa?Lisu hana uwezo wa kuzuia hayo uliyoyasema tusidanganyane, kikubwa anachoweza kufanya Lisu ni kukimbia nchi na Assylum yake Belgium iko active kama ya Lema Canada.
Mkuu nakuheshimu sana kwa michango Yako humu jukwaani, lkn hivi unadhani unaweza kuitoa CCM madarakani bila ku- battle na serikali?? Ukimaanisha kuing'oa CCM madarakani inamaana unatangaza vita na mifumo yote ya Dora"elewa neno ukimaanisha"Demokrasia ni uchaguzi, tuwaache wajumbe waamuwe.
Nilikuwa namuunga mkono sana Lisu, lakini nchi ni zaidi ya Lisu.
Genge la Lisu halina nia njema na nchi yetu na wala shida yao siyo kuchukuwq dola maana huwezo haupo kwa sasa kwa chama chocote kuitowa ccm madarakani, bali wana movement zao za kushindana na serikali.
Ni Mbowe pekee ndio anaweza kuleta utulivu wa kisiasa nchini.
Umebadili mwelekeo?Mbowe akubali tu maji yamezidi unga.
Achana nalo hilo taahira!Mkuu nakuheshimu sana kwa michango Yako humu jukwaani, lkn hivi unadhani unaweza kuitoa CCM madarakani bila ku- battle na serikali?? Ukimaanisha kuing'oa CCM madarakani inamaana unatangaza vita na mifumo yote ya Dora"elewa neno ukimaanisha"
Huwezi kuitoa CCM madarakani kwa sanduku la kura hili hili la Toka mwaka 1995. Na kama unataka sanduku la haki kubattle na dora hakuepukiki mkuu, vinginevyo mnachezea akili za Watanzania. Unadhani CCM ni wajinga wakupe tume huru kwa maneno matupu?? Wakupe katiba mpya kwa porojo za maridhiano? Kwani wao hawajui kufanya hivyo ni kujipiga bastora ya utosi??
That's why na Mimi nafikiria wapewe wengine chama tuone watakuwa na njia zipi za kuikabili Dora kwenye kivuli Cha CCM
Sijui nini kimemkuta, ila kukaa muda mrefu kwenye madaraka unajenga mazowea. Na Mbowe amefikia hapo haoni tofauti ya uenyekiti wa CHADEMA na yeye.Hilo tukio lilinifurahisha lakini kiukweli nilihuzunika sana, Mbowe sio wa kufikia hatua ile.
Mbowe anatupa wakati mgumu wa kumkataa kwa heshima aliyoijenga juu yetu.
Uhuni kwenye sanduku la kura ndo unaogopwa, ndo maana inapendekezwa kura zipigwe mchanaMbona mnaogopa sanduku la kura, halafu mbona huyu mbaba mmemshambulia sana badala kueleza sera mbadala tofauti za Mbowe?
Lugha ya kichawi hii amekosa nini kutoa maoni yakeAache kujifanya mchambuzi wa kila kitu japo ni kweli Sultan Mbowe Bin king'ang'anizi anatakiwa aondoke
Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake, kisukari kimekupanda kwakua kapiga spana upande ambao unaushabikiaInakera sana mtu kujifanya kila kitu ni mjuwaji.
Yeye ni mchambuzi wa soccer, awaachie wachambuzi wa siasa wachambuwe nyege tu zinamsumbuwa.
Huyu jamaa ahamie CCMKama hivi kudadadadeq mwamba alipiga bapa tatu ndiyo kapanda jukwaani tena mchana wa jua kali.
Nyumbu wa Mbowe wana hasira sana watapata magonjwa yasiyoambukiza sana mwaka huu.Lugha ya kichawi hii amekosa nini kutoa maoni yake
Acha uongo na unafiki hujawahi kumuunga mkono Lissu kwa lugha unayoitoa hapa.Demokrasia ni uchaguzi, tuwaache wajumbe waamuwe.
Nilikuwa namuunga mkono sana Lisu, lakini nchi ni zaidi ya Lisu.
Genge la Lisu halina nia njema na nchi yetu na wala shida yao siyo kuchukuwq dola maana huwezo haupo kwa sasa kwa chama chocote kuitowa ccm madarakani, bali wana movement zao za kushindana na serikali.
Ni Mbowe pekee ndio anaweza kuleta utulivu wa kisiasa nchini.
Mkuu hakuna sawa hapo waambie kweli nyumbu wa Mbowe kuwa Mbowe must go. Wajumbe ndio hao kila uchwao wanatangaza kumuunga mkono Lissu.Sawa