Yeye kaeleza sera gani?Mbona mnaogopa sanduku la kura, halafu mbona huyu mbaba mmemshambulia sana badala kueleza sera mbadala tofauti za Mbowe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye kaeleza sera gani?Mbona mnaogopa sanduku la kura, halafu mbona huyu mbaba mmemshambulia sana badala kueleza sera mbadala tofauti za Mbowe?
Uchawi huu amevunja sheria gani au hupendi anachosema?Inakera sana mtu kujifanya kila kitu ni mjuwaji.
Yeye ni mchambuzi wa soccer, awaachie wachambuzi wa siasa wachambuwe nyege tu zinamsumbuwa.
Kwani hana haki ya kutoa maoni yake?Kwani Edo ni nani kwenye uchaguzi wa Chadema au taifa kwa ujumla.
Wakati ukishafika hakuna namna.Ila mkumbuke huyu jamaa anasaidiwa na CCM,na CCM Wana Mbinu 1000 za kushinda....
Siasa za Tanzania ni Shaghalabaghala 🚮
Hawa ndiyo washauri wa Sultan MboweMkuu hakuna sawa hapo waambie kweli nyumbu wa Mbowe kuwa Mbowe must go. Wajumbe ndio hao kila uchwao wanatangaza kumuunga mkono Lissu.
Yericho Nyerere alisema Mbowe ndio alfa na omega wakashangilia.
Akasema hadi abebwe na machela wakashangilia, uhalisia wa mambo unaonekana Mbowe amechokwa. Angezungukwa na watu wenye akili angepumzika.
Na kusema kupumzika siyo kuogopa sanduku la kura bali kupreserve legacy yake
Kwa hizi kelele na bado ameshikilia msimamo wake, ni dhahiri jamaa yupo pale kwa maslahi.Mbowe akubali tu maji yamezidi unga.
Wengine tunaheshimiana Mkuu, inabidi kuepusha mjadala kulinda heshima.Mkuu hakuna sawa hapo waambie kweli nyumbu wa Mbowe kuwa Mbowe must go. Wajumbe ndio hao kila uchwao wanatangaza kumuunga mkono Lissu.
Yericho Nyerere alisema Mbowe ndio alfa na omega wakashangilia.
Akasema hadi abebwe na machela wakashangilia, uhalisia wa mambo unaonekana Mbowe amechokwa. Angezungukwa na watu wenye akili angepumzika.
Na kusema kupumzika siyo kuogopa sanduku la kura bali kupreserve legacy yake
And who are you by the way? (Katika sauti ya Nduli Idd Amin)Kwani Edo ni nani kwenye uchaguzi wa Chadema au taifa kwa ujumla.
Utulivu wa kutekana mkuu? Watu wanapoteza wazazi, watoto, ndugu, marafiki wewe unaita utulivu?Demokrasia ni uchaguzi, tuwaache wajumbe waamuwe.
Nilikuwa namuunga mkono sana Lisu, lakini nchi ni zaidi ya Lisu.
Genge la Lisu halina nia njema na nchi yetu na wala shida yao siyo kuchukuwq dola maana huwezo haupo kwa sasa kwa chama chocote kuitowa ccm madarakani, bali wana movement zao za kushindana na serikali.
Ni Mbowe pekee ndio anaweza kuleta utulivu wa kisiasa nchini.
Hizo ni porojo tu acha sanduku la kura liamue, wagombea wote wana haki ya kupigiwa kura. Acha tuone nani mwambaSanduku la kura kwa Afrika haliaminiki, mshindwa anakuwa mshindi!
Mkuu wewe unafanya kazi gani? Mbona siasa unachambua?Inakera sana mtu kujifanya kila kitu ni mjuwaji.
Yeye ni mchambuzi wa soccer, awaachie wachambuzi wa siasa wachambuwe nyege tu zinamsumbuwa.
Kwanini ajitoe?.....acha demokrasia ifanye kazi yake. Ashindwe kwenye sanduku la kura.Jinsi upepo unavyovuma ndani ya CHADEMA kwa asilimia kubwa Mhe. Mbowe hana chake tena. Mhe. Mbowe kubali yaishe na ujitoe kwenye uchaguzi wa tarehe 21.1.2025. Wanachama bado wanakupenda na utaendelea kupendwa kwa sababu umekitoa CHADEMA mbali.
Kabisa, wajumbe sio watu wa mchezo mchezo........unaweza kusikia vinginevyo😀😀Tusubiri matokeo ya kura
KigailaMbowe hana washauri wazuri amezungukwa na wapiga dili.
Pili hayupo kwa maslahi ya CHADEMA zaidi bali kwa mama wa maridhiano, kitendo cha kutaka kuwaweka kando wapinga maridhiano na kupata support kutoka makada wa CCM ina maana ameamua kugombea kwa maslahi ya CCM
Kwanini asishamshauri Lissu ajitoe?Swali la kipumbavu kweli kweli, kipi kinachomnyima haki kutoa maoni yake kama mtanzania kwa chama cha siasa cha Tanzania?
Mbona makada wa CCM kama Kigwangalla wanatoa maoni yao kuhusu huu uchaguzi?
Kigaila na Salum Mwalimu wake zao ni covid 19, na Mbowe ndio wamemzunguka. Je itakanushika kwamba Mbowe na genge lake ndio waliwapa nguvu hawa wanawake kuisaliti CHADEMA?Kigaila
Boni Yai
John Mrema
Salum Malimu
Mnyika
Haya ndio machawa yake yanaona akitoka ulaji wao umewkisha,kwahiyo yanamwambia bado unapendwa.
Mpumbavu mwingine, hivi kichwa umepewa cha kufugia nywele?Kwanini asishamshauri Lissu ajitoe?
Hao wote sio wapiga kura. Wapiga keleleMpumbavu mwingine, hivi kichwa umepewa cha kufugia nywele?
Wajumbe wa mikoa ipi waliojitokeza kumuunga mkono Mbowe?
Katika historia ya chaguzi za CHADEMA ambazo Mbowe aligombea ni lini uliona amepata upinzani kama huu?
Licha ya yote yanayoendelea CHADEMA kwa hivi sasa bado legacy ya Mbowe ndani ya chama haipingiki, ila kila zama zina kitabu chake. Kwa heshima aliyonayo CHADEMA ni bora akae pembeni alinde legacy yake.