Jo Assistant
Senior Member
- Jun 20, 2014
- 195
- 199
- Thread starter
- #21
Dah! 😂 Usiseme hivyo we jamaa... Kumbuka kuna graduates humu ndaniHujui utamu wa njaa wewe, elimu ni cheti tu sikuhizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! 😂 Usiseme hivyo we jamaa... Kumbuka kuna graduates humu ndaniHujui utamu wa njaa wewe, elimu ni cheti tu sikuhizi.
Dah, mie nimepitia hio nyakati baba acha tu.Dah! 😂 Usiseme hivyo we jamaa... Kumbuka kuna graduates humu ndani
Pole... Vp kwa sasa... Umejiajiri au umeajiriwa?Dah, mie nimepitia hio nyakati baba acha tu.
kwingine umeniona wapi mkuu!?We jamaa na huku upo pia kumbe...
Kule kwenye ile thread ya "Why don't poems pay in Tanzania?"kwingine umeniona wapi mkuu!?
aiseee, take it as a coincidence bossKule kwenye ile thread ya "Why don't poems pay in Tanzania?"
Poa usijali...aiseee, take it as a coincidence boss
Case closed
Nadhani wengi zaidi wame'oppose... Hivyo, "money is better than education" (huu ndo' uhalisia kwa sasa, lakini elimu ndiyo msingi).Motion mover nipo hapa.
hahahahahah mkuu umeuaaaawacha kufananisha pesa na vitu vya kipumbafu!
Wewe dada heri ya mwaka mpyahahahahahah mkuu umeuaaaa
nakusapoti sana mkuu
hivi waulize kwa elimu ya Tanzania watu wanasoma ili nini? kama sio kupata ajira na hela.Money is everything
No money no education
Money is better than education
Tokea urudi nina furahaa!hivi waulize kwa elimu ya Tanzania watu wanasoma ili nini? kama sio kupata ajira na hela.
so if money is there no need of education..tutasonga na zile elimu za kuzaliwa na tutavuka tu.
weweeee dingimtoto upo buddy? miss you a lotWewe dada heri ya mwaka mpya
weweeeeee mambo ni fire(faya) hukuTokea urudi nina furahaa!
weweeeeee mambo ni fire(faya)
mambo yakoTokea urudi nina furahaa!