"Education is better than money" Una oppose au una propose?

hivi waulize kwa elimu ya Tanzania watu wanasoma ili nini? kama sio kupata ajira na hela.
so if money is there no need of education..tutasonga na zile elimu za kuzaliwa na tutavuka tu.
Ni kweli dada... Nadhani hali ya maisha ya sasa inalazimu wengi kufanya hivyo. Bado tuna hatua kubwa ya kupiga.
 
haswaaa...mpe mtaji ambaye sio msomi anatoboa haraka kuliko msomi

nina maana gani..ukimpa msomi milion ataanza kupiga mahesabu ya loss and gain na kuona hiyo haitoshi kabisa while ambaye hajasoma anafanya tu na mbele kwa mbele atatoboa
somi atakuambia huo ni mtaji mdogo sana na atasubiri mkubwa while huyu wa upande wa pili anaendelea kusonga mbele

BTW msomi atakuwa hana hiyo hela kwa wakati huo..Elimu ni nzr sana ila kwa maisha ya sasa huwezi compare elimu na pesa mkuu

kusanya vyeti na mimi nikusanye pesa zangu tuone nani mwamba mjini

nawakilisha tu
 
hahahahah unanitega weye..mimi nina kazi inayokimu tu maisha yangu and i am happy that way
Jamani sikuwa namaanisha hivyo unavyofikiri... Ila Nimekupenda bure tu 😊 You're simple and promising!
 
haswaaa...mpe mtaji ambaye sio msomi anatoboa haraka kuliko msomi

nina maana gani..ukimpa msomi milion ataanza kupiga mahesabu ya loss and gain na kuona hiyo haitoshi kabisa while ambaye hajasoma anafanya tu na mbele kwa mbele atatoboa
somi atakuambia huo ni mtaji mdogo sana na atasubiri mkubwa while huyu wa upande wa pili anaendelea kusonga mbele

BTW msomi atakuwa hana hiyo hela kwa wakati huo..Elimu ni nzr sana ila kwa maisha ya sasa huwezi compare elimu na pesa mkuu

kusanya vyeti na mimi nikusanye pesa zangu tuone nani mwamba mjini

nawakilisha tu
Nahitaji watu kama nyie kwa kweli...
Unapatikana wapi dada yangu?
 
Debate za enzi hizo shuleni... Nani opposer na nani proposer?
Inategemea ni elimu ipi unayoizungumzia. Kama ni hii ya kwetu huku ya kuipata ili upate hela, basi hela ni bora kuliko elimu. Ila kama ni ile elimu ya kuvumbua mavitu ambayo sisi hatupewi, basi bora elimu maana kwa kutumia ile elimu tunaweza solve matatizo yatatuliwayo na pesa
 
Ahsante mkuu! Nimelipenda jibu lako... Umejibu strategically.

Back
Top Bottom