"Education is better than money" Una oppose au una propose?

"Education is better than money" Una oppose au una propose?

acha kabisaa..hii JF ilipoletewa shida mara ya kufungiwa ilinyima stimu
am back officially kabisa
mambo mengine vipi mkuu..best yangu wa siku zote
Aisee ni kweli kabisa namshukuru Mungu yanaenda adoado,
natarajia kuoa mwakani nimeaumua kukupa taarifa mapemaa
 
Pwahahah!
Wewe lazima upate hata, Inna nae lazima apate
kumbe comedian unauweza sana
nitapewa nafasi ya u comedian kwenye hafla yako naona..unipatie tu kanafasi ka 5 minutes

Nitafurahi kumuona Inna,...tupigage hapo ka picha ketu ka ukumbusho
 
nitapewa nafasi ya u comedian kwenye hafla yako naona..unipatie tu kanafasi ka 5 minutes

Nitafurahi kumuona Inna,...tupigage hapo ka picha ketu ka ukumbusho
[emoji23][emoji23] itapendeza zaidii
 
hivi waulize kwa elimu ya Tanzania watu wanasoma ili nini? kama sio kupata ajira na hela.
so if money is there no need of education..tutasonga na zile elimu za kuzaliwa na tutavuka tu.
Unasoma miaka 15 c ujinga huo
 
Back
Top Bottom