Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Nimwombee Mzee Lowasa afya njema huko aliko. Ninapomsikia Bashe na hoja zilizoegemea kwenye mikakati iliyopo beyond hata muda wake wa uwaziri nafarijika kwamba Taifa bado tuna viongozi wanaoweza kurithi yale tuliyoanzisha huko nyuma.
Vision aliyonayo Bashe inapaswa kwenda kuwafungua macho mawaziri waache kupiga bla bla bungeni wajibu hoja. Vijana pia mnapopewa nafasi au kubebwa msibaki mgongoni bali shukeni mtembee ili waliokuwa wamewabeba wasijilaum kwamba mmekuwa mizigo bali mmekuwa baraka kwenye safari.
Mhe. Bashe anafanya afya ya mzee Lowasa iwe imara kutokana na ukweli kwamba mzee anaona wazi kwamba maono yake yakutoogopa kushindwa yamepata wakuyasogeza mbele.Nikutakie kila la kheri Mhe. Bashe ila usijione mkubwa, endelea kujinyenyekeza ufike uendako