Edward Lowasa aliandaa vijana makini. Hussein Bashe ni mmoja wapo, yupo focused na mawazo ya kitajiri

Why nguvu kubwa unatumia kumsifia mtu Kwa kitu ambacho bado hakijaleta matunda?
Nafikiri mafanikio hayapaswi kufanyiwa kampeni ya kuwaaminisha watu... mafanikio yanajitangaza yenyewe
Uthubutu wake unavutia.
 
Yuko wapi Lowassa ?

Huyo aliyeandaliwa amefanya nini?
 
Nadhani unacho maanisha ni kwamba kaacha majambazi wa kutosha wanao endelea kukwapua Kila sehemu, lijifie kibudu huko lilipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…