Mtanzanika
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,389
- 1,131
Bado Lissu,Mbowe na Mdee.
Hivi hii inasaidia vipi Watanzania kuwa na hawa wanasiasa malaya wanaojali maslahi yao badala ya Watanzania?
Mkuu hata mimi ningekuwa mnywaji Leo nahisi ningezidisha dozi arudi CCM tu kwa kweli hamna alichotusaidiaNiko na bia za kutosha hapa kwa huyo mzee kuondoka cdm. Leo nitalala kwa furaha sana.
Naunga mkono nakumbuka siku hiyo anatangazwa mpk nilipigana na jamaaa kwa kuamini tu Lowasa kaja kimkakati Chadema. #Mbowe must goAisee tuliokuwa na Msimamo na kutaka mabadililo ya kweli tulipinga Lowassa kuja CHADEMA since day one. Sasa Mbowe achia chama kwa damu ya Mageuzi halisi iongoze Chama
Jisaidie kwanza ww, maana upo jukwaa la siasa lkn anasema hufuatilii siasa!
aje kumsaidia lisu ku kampeniWe knew kabla hata ya tetesi nina wasiwasi ndio atakua mgombea wao 2020
Hapana mkuu barafu akina slaa ni kama watoto wa kondoo kwenye shamba la mfuga mbwa! Vitoto vyote vya mbuzi huwa vinafungiwa ndani na kutupiwa vimajani kwanza kabla ya muda wa kufungulia mbwa!! Huyo hawezi tena kutoka bandani!! Keshapigwa kamba shingoni!Sasa nadhani rafiki yangu nayemuheshimu Dr Slaa atarudi CHADEMA,maana asiyempenda kaja.
Hata kwa bunduki haitakuja kutokea mamvi kuwa raising never everKapiga hesabu kaona miaka 6 si mingi, inshalah itafika na atamrithi jiwe.