iwamusani
JF-Expert Member
- Aug 17, 2014
- 335
- 316
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakwambia hivyo? Muache muda utaongeaHANA IMPACT ARUDI TU HANA ISSUE
Wazee wamefurahi kama vile wamemuona yesu!
Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa Amerejea Rasmi CCM Leo.
Amepokelewa Lumumba Makao Makuu Madogo Ya Chama Cha Mapinduzi Na Katibu Mkuu Dr Bashiru Ally.
View attachment 1035375View attachment 1035381
Nasubiri kusikia Slaa amejiuzulu ubalozi Kwa CCM kumpokea Lowassa.Hatimaye dr slaa na lowassa wapo chama kimoja..maisha yanaenda kasi sana..!
nikupokezana kumuita fisadi.
Mimi nipo samaki samaki hapa Mlimani city. Nitakunywa kwa kusherehekea. Maana mimi kama mpenda mabadiliko, sipendi sanaa za siasa na unafiki kama huu.Leo nitakesha kwenye bar kwa furaha ya Lowassa kuondoka cdm. Alaaniwe Mbowe na genge lake kupokea hela ya Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea urais.
Mkuu huu ndio uanaume ....Leo nitakesha kwenye bar kwa furaha ya Lowassa kuondoka cdm. Alaaniwe Mbowe na genge lake kupokea hela ya Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea urais.
Ila kuna aibu lazima
Haaa ha haa, wanasiasa woooooteeee wako after their personal interests... Huo ndio ukweli. 100%