Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo mkuu utarudi CDM au bado utabaki katikat. ..Wakati tulipoasi Chadema ile dakika mlipomuasi Dr Slaa sababu ya huyu jamaa tulitukanwa sana. Naomba niseme kwa nia njema na ya dhati kabisa. Tuombane radhi maisha yasogee otherwise hatuisaidii Tanzania. Zile hatua za 2015 yalikuwa makosa ya karne, kubalini tujipange upya wakuu. Hakuna haja ya kushupaza shingo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Comment yako ina maana kubwa mkuu jinsi watu walivyo pigania kumsafisha leo kweli ana ludi ama kweli Siasa ni mchezo mchafu.JPM aongezewe Muda wa kutawala hadi watakapopatikana wapinzani nchini.
Mpaka sasa mnajifanya vipofu? Kuna tukio la kichama la Dr Slaa kuhamia CCM? Bado mnahangaika na spinning? Msipokubali hizi blunders na kutubu mtafikia status ya NCCR very soon. Ibadilini Chadema for good, acheni uongo uongo. Chadema inahitaji mabadiliko makubwa.Dr. Slaa sasa upo tayari kufanya kazi na choo, wakati ule uliikimbia ukasema ilikiwa sebureni lakini harufu ikakutoa nduki, sasa imerejea chumbani kabisa...tunasubiri ufafanuzi wako
Wamerudi wote pamoja na Mama?
Fisadi limesafisha njia zote ni safi limefanikiwa kuingiza wajanja wote mkenge!!Kwakuwa karudi CCM Lowassa sio fisadi tena,Lumumba hoyeeeee
Tshs hoyeeee
Sent using Jamii Forums mobile app