Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Wakati tulipoasi Chadema ile dakika mlipomuasi Dr Slaa sababu ya huyu jamaa tulitukanwa sana. Naomba niseme kwa nia njema na ya dhati kabisa. Tuombane radhi maisha yasogee otherwise hatuisaidii Tanzania. Zile hatua za 2015 yalikuwa makosa ya karne, kubalini tujipange upya wakuu. Hakuna haja ya kushupaza shingo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Fisadi kuu yupo na Dr. Slaa. Hadi raha. Sijui Slaa na Lipumba watarudi kwenye vyama vyao!
 
Aibu kwa CCM,aibu kwa mwigulu,nape,kibajaji etal mlijifanya kumbelembele kuzunguka mnamponda mtu ambae amebeba siri za kuangamiza upinzani ili kukisaidia chama chenu,leo hii mtatazamana vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1551453172864.png
 
Baada ya kurejea CCM ,Edward Lowasa amewapa funzo vijana kuanza upya mikakati ya kisiasa huku akitoa fursa kwa maandalizi ya wagombea Urais 2020.

Mkakati wa baadhi ya vijana kuungana umezidi kufanikiwa baada ya wazee kurejea CCM na hivyo Sasa tuna kila sababu ya kuwa na upinzani imara 2020.

Amefanya mapinduzi ya siasa lakini nadhani kibano alichopewa mkwe wake kimemfanya atoke na kwenda kupambana kuona kijana wake anapata Uhuru na kukidhi haja ya familia yake.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom