Mkuu sisi Chadema tumeshamalizana na mzee Lowasa, amerudi kwao na sisi tumefarijika kuondoka kwake,hayo mengine mtajuana wenyewe hapo Lumumba.
Hahahahaha akikujibu niTaghuyu na swahiba wake si ndiyo mafisadi tunao pambana nao ktk hawamu hii?
Hao Wiki hii haitoisha kina Sioi n'a Shoshe watakuwa huru, lolSiasa ni ngumu kuliko physics... confirmed!
Na ili uujue ugumu wake ulivyo mkubwa, kesi ya kina Sioi, Shose na Kitilya inaenda kufutwa muda si mrefu.
Wanasiasa wakienda mbinguni motoni hakutakuwa na mtu.
[emoji2] [emoji2] sentence yako ya mwisho nimecheka sana mkuu, yule anaependa kusifiwa sifiwa ovyo akizubaa tu anaokota mpira nyavuni kija kuahamaki gooooolKazi ya Kwanza ya Rostam ulikuwa kumrudsha Ngoyai Na ameikamilisha kwa a haraka Sana Kuliko ilivyotarajiwa
Kazi ya pili kutafuta 'mawakala wa Tigo pesa' Kwenye Vyama vya Upinzani Na Ni rahisi Sana kwake Kuliko ya kumrudisha ngoyai
Kazi ya tatu Ni kurudisha Na Kuwa Middleman kati ya Wafanyabiashara Na SerIkal
Ila tukumbuke Rostam Ni Muajemi ukizubaa unaokota Mpira Nyavuni
Tunashuru kwa kuondoka kwake alipo kuwa Chadema alikuja na gundu, nuksi, mikosi. Mwili ulikuwa Ukawa akili yake iko Ccm.
CCM wamempokea malaya wa kisiasa asiye muadilifu. Hivi ndani ya ccm ya majizi na mafisadi nani ni mwadilifu?
Namba 2 na 3Kazi ya Kwanza ya Rostam ulikuwa kumrudsha Ngoyai Na ameikamilisha kwa a haraka Sana Kuliko ilivyotarajiwa
Kazi ya pili kutafuta 'mawakala wa Tigo pesa' Kwenye Vyama vya Upinzani Na Ni rahisi Sana kwake Kuliko ya kumrudisha ngoyai
Kazi ya tatu Ni kurudisha Na Kuwa Middleman kati ya Wafanyabiashara Na SerIkal
Ila tukumbuke Rostam Ni Muajemi ukizubaa unaokota Mpira Nyavuni
Kwa wana ccm tuwe makini na huyu mtu , tunaweza furahi kumpokea lakini kilichoko kichwani mwake ni siri nzito.
Watu kama hawa sio wa kuchekea chekea hata kidogo ndani ya chama, yawezekana ni mkakati wa siri wa ndugu yetu membe na kundi lake pamoja na lowassa.
Time will tell, nimekaa siti ya mbele huku
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaonyesha Lowassa alikuwa chadema ila anajua ratiba zote za ccm. Jana kawalia taiming wapo kwenye kikao cha chama akaibuka. Ikabidi wahairishe kikao na shughuli iwe kumpokea yeye. Sio kwamba Magufuli alienda kumpokea, alikuwapo hapo kwa shughuli za chama.
Lissu akigombea 2020 itakuwa ndiyo mwisho wake kisiasa. Baada ya uchaguzi hatakuwa na cheo chochote cha kumfanya apatate jukwaa la kusemea. Bora apambanie kurudi bungeni, vinginevyo, atabaki kuwa raia wa kawaida kama mimi. Atakuwa kama Dr. Silaa japo Dr.Silaa yeye alizawadiwa ukatibu mkuu.Halafu naona kama hawajafanya timing vizuri vile labda ingekuwa 2020!
2020 hawa wote kiboko yao lissu , kwanza hayupo anayemfikia kwa kujenga hoja!
Kitakachobaki kwa upinzani ni kuhimiza vjana Wengi waone umuhimu wa kupiga kura tu!