Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Wewe unaishi Tanzania na Dunia ya wapi....???
Rugemalira Mutahaba(Boss Ruge)-Mkurugenzi na mzalishaji wa Vipindi vya CLOUDS MEDIA GROUP(CMG).
acha undezi anatuhusu nini sasa....watu wamefiwa na baba,mama na watoto wao.kinacho kuskitisha wewe usiforce kila mtu i feel unavyo feel.Wabongo tuna unafki wa hali ya juu sana,usikute huyo ruge hujawai hata kumuona zaidi ya kwenye tv unashidadia tu.
 
Kwa Mtazamo wangu mimi CCM imuweke Mtu mwingine yeyote hata huyo Lowassa au Membe Sawa ila Magufuli hii Mitano yake inamtosha kabisa,hatumtaki Mpambano uwe Lissu na Yeyote yule kutoka CCM lakini Sio Magufuli.
Wenye chama wameingilia baada ya kuona athari za jiwe
 
Umetisha mkuu[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada unataka kila kitu kisimame kisa msiba? Huyu ni rais wa JMT na ameshatoa pole na amesha toa ndege.

Ulitakacasaidie kupanga vitu na kutandika majamvi Musiba ni roho yako iridhike?
 
Wengine tuliliona hilo muda mrefu.

Katibu Mkuu CHADEMA(Taifa) na Mwenyekiti BAVICHA(Taifa) ni mizigo kwa chama, waondolewe haraka - JamiiForums
 
CCM wamempokea malaya wa kisiasa asiye muadilifu. Hivi ndani ya ccm ya majizi na mafisadi nani ni mwadilifu?



alafu hawajua ndo tumekuwa strong zaidi jaman ntahama wote mie sitok upinzani..tena ngoja nije nilipie kadi yngu
 
Reactions: BAK
Akili yangu inanituma kuwa ushindi upo kwa JK na CCM halisi, anayeonekana kuchemka kwa ushamba wake ni huyo aliyempokea Lowasa, Rostam bado anaishi, na utatu mtakatifu bado unafanya kazi kwa team work

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtakuja na maneno meengi sana, ila ccm kiboko yenu na itawafunza siasa for a vry long time.
Wastaafu urais wote na elites wote wa chama wako pamoja na ni kitu kimoja. Endeleeni kujidanganya meko kila kitu anajifanyia mwenyewe na hana ushirikiano nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lowassa alienda jana lumumba akijua wakuu wa chama wana kikao. Magufuli na wakuu wengine walikuwa katika kikao jana ndio lowassa akafika sio kwamba Magufuli alienda mpokea. Ilikuwa ni surprise.
Furahini tu kuwa jembe lenu limerudi nyumbani inatosha, hayo mengine ni mbwembwe mbona kwenye mapokezi ya kumpokea hakuna mahali paliposemwa kuwa viongozi wakuu wa CCM walikuwa na kikao halafu Lowassa akaibuka kama mzuka kwenye kikao hicho, kama ni kweli wakuu walikuwa na kikao,kikao chenyewe kitakuwa kilikuwa kinahusu namna ya kumpokea Lowassa, ndiomaana kuna kiongozi mkuu mmoja wa CCM kasema kuwa kabla ya kukubali kumpokea walimjadili kwa muda wa masaa 4.
 
CCM ka hili wamekwisha wakae makini sana vinginevyo pwaaa!
 
Uko sahihii mkuu wakti lipumba anavunjwa mkono bwana yule kakimbilia ulaya huko ila yeye ndio mpinzan lipumba ni ccm sasa leo yako wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sio shabiki wa lowasa na nitabaki hivyo. Simkubali.
 
Temea mate chini mkuu. Siasa ni kama hali ya hewa. Nani alidhani jiwe angekuwa rais awamu hii? Nani alidhani chadema wangempa Lowasa nafasi ya kugombea urais kupitia chama chao?
 
huyo kaja kuimarisha kambi kwa kuwa inasemekana toka mwanzo Magufuli alikuwa team Lowasa.
 

Lissu ana taaluma yake hawezi kufanya njaa kwa kukosa ubunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…