Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Niliisubiri hii Siku kwa hamu kuwaona kina maalim seifu na mbowe wakiumbuka. Lipumba roho ilimsuta aliona mbali. Hence proved prof ni prof tu
Akili huna wewe, sijui kwa sifa zipi? Lipumba huyu huyu ninae mjua mimi au? Acheni kuupambanua ujinga wenu, amefanya nini kwa upinzani? Hizo ghiriba za kuchukua ruzuku kwa njia ya msajili au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa taarifa yako CCM wanavyofanya sherehe kumpokea Lowassa na CHADEMA nao wanafanya sherehe ya kuondoka Lowassa.
Hakika sisi Chadema tunayo furaha kubwa kwa Mzee Lowasa kurudi kwao.Alifuata urais na kaukosa na kasoma alama za nyakati kuwa Chadema isingempa nafasi hiyo tena,kaona bora akatetee familia yake. Sioi, Kitlya na Shose wataachiwa huru soon. Tunamtakia maisha mema huko kwao, hakuna kinyongo naye, hajatukosea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema mmeshapoteana. Rais was mioyo yenu karudi kuungana na rais was Tanzania
 
Watanzania X2
CCM yawina.

Watanzania X2
ooh! CCM yawina.
 
Watanzania X2
CCM yawina
Watanzania X2
ooh! CCM yawina.
Na Madereva,
CCM yawina
Na MamisheX2
Ooh! CCM yawina
Na dini zote X2
ooh! CCM yawina
na Wakulimax2,
CCM yawina

Watanzania X2
CCM yawaina

Na wafanyakazi X2,
ooh! CCM yawina
Na Wafugaji x2
CCM yawina

WatanzaiaX2
CCM yawina.
Wafanyabiasharaa X2
ooh! CCM yawina.
na Wasomi x2
CCM yawina,
Na Wamachinga
CCM yawina

Watanzania X2
CCM yawina - John Komba
 
Weka audio
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zwazwa mwenyewe na mpumbavu usiyejielewa ww .
Mbowe aliwaingiza chaka lakini lipumba na slaa walikataa
Mkuu, wewe mwambie aendelee kuzungusha mikono na kupiga deki kule Mwanza, viazi hao makamanda akili zimejaa makamasi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…