Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

...Haya, baba! Tunajua hutakuwa na la kuwaambia wale wapiganaji milion 6 lakini ndiyo hivyo ushaunga juhudi!
..nenda, mzee kapumzike baba!
Umemaliza kazi!

Sent using Vertu Signature Cobra
 
Rostam Aziz the King Maker.
Like or hate him, he decides who rules Tanzania or at least how Tanzania is ruled.
Hii ni enzi nyingine,aishi kwa adabu na afanye biashara halali.Akileta za kuleta akae mkao wa kula.Kwanza si alisema anahamisha biashara zake,kasahau nini Tanzania?
 
H@@@@ haaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
kizazi cha kudamshi wanaamini ruge ni mtu muhimu sana nchi hii πŸ˜›
 
Wamepotea jabisa leo akina Chakubanga na timu yake.
 
Hii ni enzi nyingine,aishi kwa adabu na afanye biashara halali.Akileta za kuleta akae mkao wa kula.Kwanza si alisema anahamisha biashara zake,kasahau nini Tanzania?
Mkuu, Kwanza tujiulize. Nani anamwitaji mwenzake zaidi? Rostam au CCM?
Rostam alikuwa anaishi South Africa. Kurudi kwake ni dalili CCM wanamhitaji zaidi. Hawa hafanyi biashara kichaa.
 
Mkuu, Kwanza tujiulize. Nani anamwitaji mwenzake zaidi? Rostam au CCM?
Rostam alikuwa anaishi South Africa. Kurudi kwake ni dalili CCM wanamhitaji zaidi. Hawa hafanyi biashara kichaa.
Sio CCM ya Magufuli mkuu.Ameona mambo hayaendi South Africa.Ujuaji juaji kule na vidili vya kijinga jinga kama bongo ni unacceptable na out of place.
 
sasa yuko nae, ngoja tusubiri kauli yake. lakini kwa vile ccm hawana mshipa wa aibu atampongeza
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ my Ribs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…