Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

...Haya, baba! Tunajua hutakuwa na la kuwaambia wale wapiganaji milion 6 lakini ndiyo hivyo ushaunga juhudi!
..nenda, mzee kapumzike baba!
Umemaliza kazi!

Sent using Vertu Signature Cobra
 
Rostam Aziz the King Maker.
Like or hate him, he decides who rules Tanzania or at least how Tanzania is ruled.
Hii ni enzi nyingine,aishi kwa adabu na afanye biashara halali.Akileta za kuleta akae mkao wa kula.Kwanza si alisema anahamisha biashara zake,kasahau nini Tanzania?
 
H@@@@ haaaaa
Ufisadi wa lowasa ulianzia bungeni na siyo cdm mpk akaachia ngazi.
Hebu turudi kwenye kashfa ya mavi kwenye suluari ya lowasa majukwaani, inzi matakoni pa lowasa. Pumpas pa kunyea lowasa! Ilikuwa ni haki kumtamkia Yale? Je alistahili Yale? Maana kama kuharisha alitoka nako ccm, haya toeni pongezi kwa cdm, kwa kushika mavi ya uharo wa lowasa kumnawisha.
Kumtibu mpk uharo kukata,Leo hii ni msafi mmempokea.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kizazi cha kudamshi wanaamini ruge ni mtu muhimu sana nchi hii 😛
 
Kufuatia kuhama kwa lowasa ccm kwenda chadema wanaccm walizungumza mengi sana.
Umoja wa vijana CCM walimkashif sana.....
Leo nipo upande wao.....je hili la kurudi tena CCM watasema nn?
Maana tumezoea kila kitu wanashangilia tuuu.

Akina polepole na msukuma nadhani wanaugua huko walipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamepotea jabisa leo akina Chakubanga na timu yake.
 
Hii ni enzi nyingine,aishi kwa adabu na afanye biashara halali.Akileta za kuleta akae mkao wa kula.Kwanza si alisema anahamisha biashara zake,kasahau nini Tanzania?
Mkuu, Kwanza tujiulize. Nani anamwitaji mwenzake zaidi? Rostam au CCM?
Rostam alikuwa anaishi South Africa. Kurudi kwake ni dalili CCM wanamhitaji zaidi. Hawa hafanyi biashara kichaa.
 
Mkuu, Kwanza tujiulize. Nani anamwitaji mwenzake zaidi? Rostam au CCM?
Rostam alikuwa anaishi South Africa. Kurudi kwake ni dalili CCM wanamhitaji zaidi. Hawa hafanyi biashara kichaa.
Sio CCM ya Magufuli mkuu.Ameona mambo hayaendi South Africa.Ujuaji juaji kule na vidili vya kijinga jinga kama bongo ni unacceptable na out of place.
 
Back
Top Bottom