Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Kwa CCM hii kura siyo inayoamua nani ni mshindi, ni mitutu ya bunduki ndiyo itaamua nani atangazwe mshindi. Bila mabavu ya dola na mbeleko ya NEC CCM haina uwezo wa kushinda kabisa.
 
Inawezekana KWAKO MSIBA WA RUGE NI MUHIMU ILA SI KWA WOTE. KILICHO MUHIMU KWAKO SI LAZIMA KIWE MUHIMU KWA WOTE.

Kwa mfano HAO WATU WAWILI WOTE SI MUHIMU KWANGU. so sikondi,sipati presha sina huzuni. Katika maisha chagua watu muhimu kwako. Deal na hao wengine achana nao.otherwise utaumia bure tu.

So nadhani Magufuli ana haki ya kuchagua watu muhimu kwake.na wewe una haki ya kuchagua watu muhimu kwako. Then kila mtu awe na watu muhimu wanaomhusu. Sometime kwa judgement zetu tunakosea sana tunapotaka ziwe universal. Na hali hii ndo inasababisha udikteta.


 
HII NA MIMI IMENISHANGAZA SANA... RUGE AMEKUWA ISSUE KUBWA ILHALI MIMI BINAFSI NAMWONA NI KAA VIJANA WENGINE AMBAO WAMEFANIKIWA KIMAISHA BASI. BUT NI WA KAWAIDA SANA.

kizazi cha kudamshi wanaamini ruge ni mtu muhimu sana nchi hii 😛
 
Watu wachache hawakutarajia kama mh Lowasa angerejea Ccm.Bali werevu walitarajia hilo,hasa baada ya Yohana mbatizaji msafisha njia kurudi CCM Mh James ole millya.njia aliiandaa na sasa mzee amerudi.je mh lowasa anamuhitaji mh magufuli au mh magufuli anamuhitaji mh lowasa zaidi?hapa ni silaha zimetafutwa kukaribiana na korosho pia na uchaguzi hasa kwa wale walioanza chokochoko za urais..pengine mh Rostam akanunua korosho zote..hapo karata itakuwa imejibu..mh Lowasa bingwa wa mikakati anaweza kuzizima kelele za wamachinga kimyakimya hiyo nayo ni karata kuelekea uchaguzi 2020.kundi jipya kwaajili ya uchaguzi...waliokuwepo 2015 hawapo tena kumsaidia rais ashinde bali matarajio yao ashindwe.kwa bahati mbaya sana mh amebali via angani amewatangulia mbele amejiandaa na kikosi kilichotofautiana na mtangulizi wake...atashinda kwa 85%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unahisi ni chama gani kitashinda chadema ya akina Sugu au
 
Kila mtu ana fight kwa ajiri ya tumbo & ramani zake za kibiashara

Sent from my GT-N7000 using Tapatalk
 
Kampuni ya Caspian iliyokuwa inachimbish a katika migodi ya Barrick/Acacia, Mwadui nk usichukulie hiyo kazi ni rahisi kuifanya maana inahitaji vifaa vizito vingi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo kandarasi za kupeana gizani ccm kwa jina la caspian...uliza hata kama wamewahi omba kazi za uchimbaji sehemu nyingine yoyote mbali na Tanzania kama kweli wanazo sifa za kuchimba madini halafu taja hizo nchi kama zipo.
 
Kuna Kuna tofauti kubwa kati ya Lowassa aliyepokewa jana na ile ya 2015.
 
Soma vizuri Kiongozi. Wapi Kuna sifa hapo?
Tena nimesema kabisa kapataje hizo hela ni topic for another day. Timamu yeyote ataelewa hilo.
Ni common sense. Since common sense is not so common, tuachie hapo.
 
Hizo kandarasi za kupeana gizani ccm kwa jina la caspian...uliza hata kama wamewahi omba kazi za uchimbaji sehemu nyingine yoyote mbali na Tanzania kama kweli wanazo sifa za kuchimba madini halafu taja hizo nchi kama zipo.
Barrick na Acacia are not stupid kumpa asiye na uwezo. Sio tender za serikali au CCM. Advantage aliyokuwa nayo ni kwamba yeye ni major supplier wa heavy machinery za mining.
 
Mbowe alidhan Siasa ni Kama u Dj
Kaumbuka vibaya Sana
Akawadharau walimu wake wa siasa. 2015-march 01 2019 fumbo limefumbuliwa. Ndio ujue faharasa ya muumini inaona kwa nuru ya Mwenyezi Mungu. Wazee waliona mbali sana. Prof lipumba I'm sorry
 
Akili huna wewe, sijui kwa sifa zipi? Lipumba huyu huyu ninae mjua mimi au? Acheni kuupambanua ujinga wenu, amefanya nini kwa upinzani? Hizo ghiriba za kuchukua ruzuku kwa njia ya msajili au?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitaka ruzuku ampe lowasa ambaye ni ccm acha uzuka basi na ugwangwahero.
 
Hatukosei mkuu hawa wanajiona wao ni malaika

Wanalalama JPM hashauriki utadhani wao wanashaurika kwa matusi kwao chuo
Dr Slaa si mwanasiasa tena hivyo hayana impact kwake. Alafu kumbe mlikuwa mnajua hizi blunders lakini mlivyokuwa mnamtetea sasa! Tukiwaita wanafiki tunakosea mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zwazwa mwenyewe na mpumbavu usiyejielewa ww .
Mbowe aliwaingiza chaka lakini lipumba na slaa walikataa
Sasa zwazwa weye unalikubali chaka lirudi tena ccm! Mpuuzi mkubwa wewe sasa iweje chaka likubaliwe tena ndani ya ccm? Na kwa taarifa yako Slaa naye aliingizwa chaka taahira wewe kama hujui mambo usikurupuke pimbi were uliza kwanza.

Kweli Lowassa kavuruga watu.
Ha ha ha ha Lowassa kiboko yao na kawaweza.

Chadema walimwita Fisadi weeeee akahamia kwao...wakalamba matapishi na wakanywea balaa.
We fikiria Lissu na mdomo wake ule akanywea.
Lema na mdomo wake ule na viapo vyote kuwa ni haki toka kwa Mungu kumzomea Lowassa akanywea na kunyenyekea.

Alivoenda Chadema , CCM wakamsema weee, kina Polepole wakamwita malaya na fisadi wee..
Sasa karudi. Ccm wote ziii...Polepole kanywea..ccm imenywea.

Hivi sasa ngoma droo. Hakuna ccm wala chadema anayeweza muita Lowassa fisadi. Wamebaki kama BAK na mwenzie wanavyotifuana kwa kitu kile kile...

Lowassa kiboko..jamaa korofi sana ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…