SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Kwa CCM hii kura siyo inayoamua nani ni mshindi, ni mitutu ya bunduki ndiyo itaamua nani atangazwe mshindi. Bila mabavu ya dola na mbeleko ya NEC CCM haina uwezo wa kushinda kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii picha haingii akilini hata chembe. Nianze kwa kuuliza .''HUU KAMA SIYO UNAFIKI WA WATANZANIA ULIOPITILIZA NI KITU GANI...???
Kwamba Watanzania wote wako kwenye musiba mzito wa kifo cha Mkurugenzi wa Uzalishaji na Vipindi wa CMG marehemu Ruge Mutahaba anajitokeza Edward Ngoyai Lowassa kutangaza kuhama CHADEMA na kurudi CCM inakuwa ni tukio muhimu zaidi kuliko musiba....!!!Rais wa JMT Mhe. John Joseph Magufuli ame-tweet kwenye mtandao wa tweeter kuelezea masikitiko ya kifo cha Ruge lakini hajafika nyumbani kwao na Marehemu Ruge kuwapa pole wafiwa.
Lakini baada ya Lowasa kutangaza kurudi CCM pale Lumumba Rais Magufuli yuko mbele kushangilia na kusherekea kurudi kwa Lowassa. Makada wa CCM wanashangilia na kufurahi katikati ya musiba mzito wa kijana Mtanzania ambaye amegusa nyoyo za Watanzania wengi.
Je, hili limepangwa au ni bakti mbaya? Kama CCM walikuwa wamepanga Lowassa arejee CCM tarehe ya 1 March, 2019 wameshindwa nini kuahirisha sherehe hiyo ambayo haina tija yoyote kwa Watanzania? Je, haya ni maksudi ya kuumiza nyonyo za Watanzania hasa Wana-media na wale wa vyama vingine vya siasa hususan CHADEMA? Maswali ni mengi kuliko majibu....!!
Nihitimishe kwa kusema hivi, kama Taifa, Tanzania tumeshapoteza mwelekeo wa mambo ya msingi ambayo tuliachiwa na mwasisi wetu Baba wa Taifa JK Nyerere(rip). Ni ubazazi wa hali ya juu kuimngiza siasa katikati ya musina mzito kama huu. Matukio haya mawili: KIFO CHA RUGE MUTAHABA na KUREJEA KWA LOWASSA CCM kwa hakika kimeonesha UNAFIKI WA HALI YA JUU usiozingatia UTU, HESHIMA na USTAARABU katika jamii ya walio HAI na WAFU. CCM wamekuwa ni mafundi sana wa kutengeneza PICHA ZA KINAFIKI ambazo kuna siku zitaleta matokeo HASI ambayo Wanasiasa hasa wa CCM hawajawahi kuzitarajia.
Hivi Rais Magufuli haoni aibu? Rais Magufuli amedhihirisha unafiki wake kwa Lowasa. Hivi yale maneno na kauli aliyoitamka siku ile kuwa WALE WAJUMBE WOTE WA MKUTANO MKUU WA CCM WALIOKUWA WAKIIMBA WANA IMANI NA LOWASSA ANGELIWAPOTEZA ZAIDI YA NUSU YAO... ameyafuta lini? Wahenga walisema ukitaka kuwa mwongo na mnafiki mzuri usiwe msahaulifu...!Je, waliokuwa wanashangilia, kuimba na kusherekea kurudi kwa Lowassa CCM jana pale Lumumba basi Magufuli atuambie atawapoteza wangapi?
Tafakuri.
kizazi cha kudamshi wanaamini ruge ni mtu muhimu sana nchi hii 😛
Siasa ni mchezo mchafu. Katambi, Kafulila, Mollel, Chacha, ENL,... Ongeza wa kwakoTeam ya mikakati iko mitamboni baada ya dereva wa lorry kupiga reverse nyingi na kuhatarisha kuharibu lorry [emoji597]
Umewahi sikia hiyo caspian unayotaja inachimba madini sehemu nyingine..hata ndani ya africa tu..taja!Kampuni ya Caspian iliyokuwa inachimbish a katika migodi ya Barrick/Acacia, Mwadui nk usichukulie hiyo kazi ni rahisi kuifanya maana inahitaji vifaa vizito vingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Unahisi ni chama gani kitashinda chadema ya akina Sugu auUkipata jibu sahihi la swali hii, basi utagundua ni kwanini CCM itaendelea kupoteza uungwaji mkono licha ya hii hamahama ya kila siku na utajua ni kwanini pamoja na kujifariji na hii hamahama, kamwe hawawezi kujiamini na kukubali Tume Huru ya Uchaguzi.
Ukweli ni kwamba,siasa za hama hama kamwe haziwezi kuwa mtaji kwa chama chohote tawala ambacho kinavurunda kwa kiasi kikubwa kama CCM hii iliyoshindwa kukidhi matarjio ya wananchi na sasa inaatafuta kukubalika kwa kutegemea hama hama ya mwanasiasa mmoja mmoja kutoka upinzani.
Hama hama hii ingeweza kuwa na maana kwa CCM iwapo wangeweza kukidhi matarajio ya wananchi wa kawaida lakini sio katika mazingira haya ya uchumi kuharibika,ukosefu wa ajira,mabiashara kufungwa,watu kutekwa na wengine kuwawa,dola kupanda,kuharibu zao la korosho,kukata asilimia 15 kwenye mishahara kulipia deni la bodi ya mikopo,mazao ya wakulima kukosa soko,kushindwa kuongeza mishahara ya watumishi na kulipa stahiki zao zingine,n.k.
Hakika huyu bwana sio tu ni mtupu katika maswala ya uchumi,diplomasia,n.k bali pia ni mtupu hata katika siasa.
Hizo kandarasi za kupeana gizani ccm kwa jina la caspian...uliza hata kama wamewahi omba kazi za uchimbaji sehemu nyingine yoyote mbali na Tanzania kama kweli wanazo sifa za kuchimba madini halafu taja hizo nchi kama zipo.Kampuni ya Caspian iliyokuwa inachimbish a katika migodi ya Barrick/Acacia, Mwadui nk usichukulie hiyo kazi ni rahisi kuifanya maana inahitaji vifaa vizito vingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna tofauti kubwa kati ya Lowassa aliyepokewa jana na ile ya 2015.Kwanini unawashangaa akina Polepole kufanya kilekile walichofanya Chadema 2015? Hivi kati ya CCM na Chadema ni nani aliyemuita Lowassa fisadi kwa muda mrefu zaidi? Nitakusaidia jibu: Chadema walianza kumuita Lowassa fisadi mwaka 2006 na waliendelea kufanya hivyo hadi Julai 2015, yaani miaka tisa mfululizo.
And guess what? Wakati CCM haitojihangaisha kumsafisha Lowassa, Chadema ilizunguka nchi nzima kulamba matapishi yake - na kibaya zaidi - kutelekeza flagship policy yake ya vita dhidi ya mafisadi.
Kosa kubwa linaloweza kufanywa na Chadema ni kuendelea kujihadaa kuwa hizi hamahama haziwaathiri.
Swali moja ambalo hakuna mwana-Chadema anaweza kujibu kwa hakika ni hili: WHO IS NEXT?
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma vizuri Kiongozi. Wapi Kuna sifa hapo?Ni juha tu anaweza sifia utajiri haramu wa aina hiyo, hata kama anamiliki 90% ya share za vodacom...hata kichaa anaweza okota almasi akauza akawa bilionea kwa siku moja, swali ataweza kumaintain ubilionea huo?? ndio maana nakuuliza ni wapi rostam ameanzisha biashara mpya kama mabilionea wengine wanavyofanya kina dangote..utajiri wa staili ya rostam wala haudumu, huyo si bilionea, labda kama unaona fahari kutamka neno bilionea, lakin hana hadhi hiyo, tatizo lenu rubbish za magazeti sijui forbes nyinyi mnameza tu..akili inajaza takataka tu hata jambo dogo la ukubwa wa sindano wewe unaona ni kama chuma cha tani 5 kabisa.
Barrick na Acacia are not stupid kumpa asiye na uwezo. Sio tender za serikali au CCM. Advantage aliyokuwa nayo ni kwamba yeye ni major supplier wa heavy machinery za mining.Hizo kandarasi za kupeana gizani ccm kwa jina la caspian...uliza hata kama wamewahi omba kazi za uchimbaji sehemu nyingine yoyote mbali na Tanzania kama kweli wanazo sifa za kuchimba madini halafu taja hizo nchi kama zipo.
Akawadharau walimu wake wa siasa. 2015-march 01 2019 fumbo limefumbuliwa. Ndio ujue faharasa ya muumini inaona kwa nuru ya Mwenyezi Mungu. Wazee waliona mbali sana. Prof lipumba I'm sorryMbowe alidhan Siasa ni Kama u Dj
Kaumbuka vibaya Sana
Ulitaka ruzuku ampe lowasa ambaye ni ccm acha uzuka basi na ugwangwahero.Akili huna wewe, sijui kwa sifa zipi? Lipumba huyu huyu ninae mjua mimi au? Acheni kuupambanua ujinga wenu, amefanya nini kwa upinzani? Hizo ghiriba za kuchukua ruzuku kwa njia ya msajili au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa walivyo wanafiki hutawaona hapa kujibu hoja yako
Mwanasiasa ninaemwamini ni Dr Slaa tuSasa nadhani rafiki yangu nayemuheshimu Dr Slaa atarudi CHADEMA,maana asiyempenda kaja.
Dr Slaa si mwanasiasa tena hivyo hayana impact kwake. Alafu kumbe mlikuwa mnajua hizi blunders lakini mlivyokuwa mnamtetea sasa! Tukiwaita wanafiki tunakosea mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Zwazwa mwenyewe na mpumbavu usiyejielewa ww .
Mbowe aliwaingiza chaka lakini lipumba na slaa walikataa
Kweli Lowassa kavuruga watu.Sasa zwazwa weye unalikubali chaka lirudi tena ccm! Mpuuzi mkubwa wewe sasa iweje chaka likubaliwe tena ndani ya ccm? Na kwa taarifa yako Slaa naye aliingizwa chaka taahira wewe kama hujui mambo usikurupuke pimbi were uliza kwanza.