Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Labda hujaelewa...koza Hilo liliuuzia upinzani kanyaboya na kuwafanya wapoteze uchafuzi.Kwamba Mbowe kumpokea lowassa na lowassa kuondoka ndio ajiuzulu uenyekiti ? Kisa wewe hukupenda basi ndio unataka awajibishwe,ebu niambie unatumia kigezo ghani kujua kwamba jiwe sio fisadi ?
Kumbuka faini aliyolipa taslimu...kurudi kwa Lowassa je?Kwamba RA anaweza kutinga ilkula na ndugu yake akatoka selo.....kunaonesha udhaifu mkubwa sana kwenye utawala wa sheria katika nchi yetu na kwa kweli Jiwe mwenyewe. Kunasema mengi sana kuhusu matumizi mabaya ya madaraka na mfumo wetu wa mahakama. Kesi nyingi dhidi ya upinzani, ni wazi zaidi sasa zina mikono ya wanasiasa.
Yaani Bado hujui ninaposimama linapokuja suala la Lowassa na Urais?Swali langu kwa mwanakijiji ni hili, kama ndoto ya Lowassa kugombea urais 2020 itahuishwa na RA, wewe utasimama upande gani? Unaweza vilevile kumjibia Dr. Slaa kama ukipenda.
Yaani umesahau kabisa kuwa walishafanyan hivyo...Chonde chonde CHADEMA msidanganyike mkabadili uongonzi katikati ya vita haijawahi kutokea ndiyo maana akina mzee Mandela waliweka demokrasia walipokamata nchi siyo walipokuwa vitani
Porojo za Mzee Mwanakijiji, tueleze watu hawa ni lini walijiunga na ccm!? Liundi, Jaji Augustino Ramadhani, Robert Mboma, Omar Mahita, Alfred Tibaigana na ukumbuke hawa nafasi zao kiutumishi hazikuwaruhusu kuwa wanachama wa vyama vya siasa. Rais jana tu amewakumbusha Watanzania siyo mabwege.
Sent using Jamii Forums mobile app
Brother najua watu ambao hamkupenda yale maamuzi mnafikiri huu ndio wakati muufaka kuonyesha hayakuwa sahihi,lakin unajua kampen za arumeru lowassa alikuwa target kwa sababu na yeye alishiriki zile kampen moja kwa moja,japokuwa hakuna aliyenionyesha ni kwa jinsi ghani chadema waliathirika na uchaguzi wa 2015 kwa kumuweka lowassa kama mgombea
Mkuu hebu kuwa realistic hivi huwa mnamaanishaga nini mnaposema CHADEMA imesalimu amri kwenye hoja ya ufisadi?
Mnaweza mkathibitisha kuwa kuna ufisadi umefanyika halafu CHADEMA wakashindwa kuusemea? Huwa wenzetu mnatumia kipimo gani?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Now you are talking. Tupo tulioumizwa sana na uamuzi ule.
Ukiipima kupitia CHADEMA utakuwa unakosea sana. CHADEMA ipime dhidi ya mitazamo ya wananchi inayotokana na pia uchochezi toka kwa wapinzani wa CHADEMA.
Ndani ya CHADEMA bado tunaamini kwamba tunapambana na ufisadi, lakini ni kweli kwamb watu wengi sana wanatumia kupokelewa kwa Lowassa kama ni kukengeuka kwa CHADEMA kwenye mapambano dhidi ya Upinzani.
Labda kama ukiniambia ww ni mjumbe wa kamati kuu ya chadema unaweza ukawa nauhakika kwamba lowassa ajawa na mchango wowote kwenye chama baada ya uchaguzi.kwamba alipokuwa chadema hata Rais mwenyewe alikuwa bado anamuogopa hapo siwez kukaataa ndio maana hata juz chama na serikali nzima imempokea kwa kurudi kwake.mimi mwenyewe nimefurahi lowasa kurudi CCM na wala haijaniumiza kabisa kwa sababu inatoa mwanya zaid ya kina LISSU na wengine kutumia fursa.lakin sibez hata kidogo maamuz ya chama kumchukua lowasaHata ukila chakula chenye sumu utashiba, tatizo sio kushiba bali ni matokeo ya hiyo sumu uliyokula. Kweli matokeo ya 2015 yalikuwa mazuri, je baada ya hayo matokeo mchango wa huyo Lowassa ulikuwa upi? Kama Lowassa aliweza kuleta kura 6,000 mbona hakwenda TLP, UDP nk waliokuwa na uhaba wa kura? 2010-2015 cdm ndio chama kilichofanya mikutano mingi nchini kuliko vyama vyote kwa pamoja, hivyo hizo kura 6m zilitokana na juhudi hizo na sio ujio wa Lowassa.
ETY EHIla Rostam sijui ametengenezwa na nani. Nguvu yake si ya kawaida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haaa! Not quite. Sikuamiini kama upinzani unaweza kuingia ikulu. Binafsi nilifikiria zaidi kuongeza idadi ya wabunge na madiwani wa upinzani ili kupunguza nguvu za chama tawala.Ulikubali kucompromise principles zako ili tu upinzani uende Ikulu. Kwamba, haikujalisha yote uliyosimamia kabla na kiu yako ya mabadiliko ikakufanya ufumbe macho usione kilichokuwa nikitoka mbele yako. My friend haukuwa peke yako.
Mkuu uko vizuri.4. Kuhusu mabadiliko na utendaji wa JPM ni very subjective inategemeana unatazama kutokea angle gani. Mwanakijiji ameshindwa kuonesha ni angle gani anayomtazama Magufuli maana wapo wanaomtazama kama Rais wa wizara ya "miundombinu na uchukuzi" pekee.
Nawasilisha!
Sent using Jamii Forums mobile app
Treni ilitekwa ikaelekezwa Mpanda, bado zinatakiwa juhudi kuirudisha kwenye reli ya kuelekea Kigoma ili tuweze kufika Kigoma.Rudini kazini sasa....
Aliyewasababishia maumivu ameshaondoka na kurudi kwao....
Maisha ni kuumia, kumiizwa na kuumiza wengine....
What is important, is forgiveness....
Kila binadamu anafanya makosa. Wewe unafanya. Mimi hufanya. Kila mtu hufanya.....
Lililo muhimu ni kugundua makosa yako. Unarekebisha na unasonga mbele....
Narudia tena. Aliyewafanya muumie, hayupo ndani ya nyumba. Come back home, safari ya Kigoma inaendelea...
Ninachooamin alichangia ela ccm kwenye uchaguzi wa 2015,so bado memba muhimuYaani... nilishtuka nilipomuona Ikulu Mara ya kwanza tena karelax kama sebuleni kwake. Kuja kumrudisha Lowassa ndio kanimaliza kabisa
Treni ilitekwa ikaelekezwa Mpanda, bado zinatakiwa juhudi kuirudisha kwenye reli ya kuelekea Kigoma ili tuweze kufika Kigoma.
Ila Rostam sijui ametengenezwa na nani. Nguvu yake si ya kawaida.
Sent using Jamii Forums mobile app