Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Ikitokea mwanasiasa katoka CCM kaenda CDM, wana CCM hawatoi povu sana ikitokea kinyume chake! Yaani napitia mitandaoni hapa sakata la kuhama kwa Lowassa na leo Mgeja kurudi CCM yani wana CDM wanamwaga povu kama loote asee!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwasababu anarudi kwenye mavumbi alikokuwa mwanzoni.
 
Ikitokea mwanasiasa katoka CCM kaenda CDM, wana CCM hawatoi povu sana ikitokea kinyume chake! Yaani napitia mitandaoni hapa sakata la kuhama kwa Lowassa na leo Mgeja kurudi CCM yani wana CDM wanamwaga povu kama loote asee!!

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa sababu kuwa mpinzani ni sababu ya kuikosoa serikali iliyo madarakani, sasa unapoamia chama tawala unaenda kukosoa nini?
 
Acha hao.. hata mimi .
wajinga ndio wako kule kimaslahi tu.
 
Back
Top Bottom