Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Yeye na Sumaye wote Maboya tu na maji siku zote hufuata mkondo, hivyo fisadi moja limerudi nyumbani kwa mafisadi wenzie.
Mkuu pamoja na kuludi ila huyu mtu analudi na faida kwa CCM, Analudi na siri Chadema kwenda kwa CCM
 
Reactions: BAK
Ukweli nikwamba ccm wameamua kurejesha makundi ndani ya chama
Yani ulipo tupo,
Kazi na bata,
Ccm mpya,

Lile kundi ndogo lililo kajiunga na ccm mpya kiunafki na wale walio kawa banch wataibuka kwa nguvu zote.
Teem ya majani mapana imesajiri usajili kama wa ngasa kwa yanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni kweli ni furaha kwa mabadiliko tunamtakia kila la heri
 
Yaliyojadiliwa mwaka jana wakati lowasa alienda magogoni kumpa tano jiwe hatukuyajua, huenda hii ilikua ni project iliyojadiliwa ifanyike mwaka huu

Sent using unknown device
 
Nawashangaa mnaoshabikia matukio na watu badala ya kile mnachokiamini, yaani masuala ya msingi.

Wale wanaojiamini ni watu wenye mafanikio makubwa kila mara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ATM ya chadema imeondoka kwenda CCM Lisu hela ya chakula,mavazi ,kodi ya pango na ada ya wanawe atatoa wapi.Poleni chadema kwa kuondokewa na ATM
 
Sasa imebaki zamu ya Dr. Slaa kurudi Chadema. Tumefika patamu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…