cyrustheruler
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 2,044
- 1,869
Si mlisema ni fisadi kawarudia sasaone of the greatest hero of CCM of all time, welcome back home legend
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si mlisema ni fisadi kawarudia sasaone of the greatest hero of CCM of all time, welcome back home legend
Mkuu pamoja na kuludi ila huyu mtu analudi na faida kwa CCM, Analudi na siri Chadema kwenda kwa CCMYeye na Sumaye wote Maboya tu na maji siku zote hufuata mkondo, hivyo fisadi moja limerudi nyumbani kwa mafisadi wenzie.
Naona umeshiba chipsi yai na azam juiceBavichaa haaaahaaaahaaa leo mmeachwa makalio waziii...alipohamia chadema wwnyew mlimpokea kwa mliyoyaita mafuriko leo imekuwa hana impact.. ..haaaahaa impact my foot.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yuvisisiemu nao hawatamwita fisadi tena,Lowassa kiboko ya CCM na CHADEMABavichaa haaaahaaaahaaa leo mmeachwa makalio waziii...alipohamia chadema wwnyew mlimpokea kwa mliyoyaita mafuriko leo imekuwa hana impact.. ..haaaahaa impact my foot.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sumaye anasubiri nini yeye kuondoka wakati walienda wote cdm
Sent from my Iphone using Tapatalk
huko kwa ccm watajipanga wenyewe,, minazungumzia,, maono ya lipumba kwa ed low,, hawezi mtu akapewa nafasi ya kugombea urais kwa ukawa kwa kuhonga hela,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu pamoja na kuludi ila huyu mtu analudi na faida kwa CCM, Analudi na siri Chadema kwenda kwa CCM
Nawashangaa mnaoshabikia matukio na watu badala ya kile mnachokiamini, yaani masuala ya msingi.Itakuwa faida kwa upinzani 100%....
Nilishapiga kelele sana hapa kuhusu Lowassa na Sumaye....
Hawa ni watu walioshiriki kila aina ya ufisadi ndani ya ccm .
Angalia sasa tamaa ya mbowe sijui na Dr slaa uso wake atauweka wapi?....
Niwakati wa Lissu kapewa chama na kumshawishi Bi Fatuma karume wagombee 2020 tuchukue nchi mapema...
Fukuzeni na Sumaye kwenye chama ungana na Zitto awe waziri mkuu baada ya uchaguzi hapo tutawapigania kwa hali na mali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa imebaki zamu ya Dr. Slaa kurudi Chadema. Tumefika patamu!Ujio wa Lowasa CCM kwa sasa una faida gani katika uimara wa chama hicho? Je, ni upi mtizamo wa viongozi wa ngazi mbalimbali ndani ya chama hicho?
Je, kwa chadema Leo hii kuondokewa na Lowasa ni faida au hasara? Alikuwa na ushaeishi?
Kwa Mahakama na serikali, ujio wa Lowasa CCM hauwezi kuwa na viashiria vya rushwa hasa pale yatakapotolewa maelekezo ya kuhitimishwa kwa kesi ambazo zinawahusu ndugu na jamaa zake?
Kama ujio wake CCM utapelekea baadhi ya watu kutoka magereza, je haitaleta picha kuwa tumewaweka watu kwa sababu za kisiasa na hivyo kumfanya jaji mkuu na muhimili wake kuonekana unatumika kuwakandamiza wananchi wenye mrengo tofauti na serikali au chama tawala?
Sent using Jamii Forums mobile app
BAVICHA bhana utadhani ni wale wa korosho "nunua shangilia/pongeza + rudisha shangilia/pongeza"HANA IMPACT ARUDI TU HANA ISSUE