Yaani mimi toka mbunge wa Kinondoni alivyojitoa Chadema pale niliichoka siasa, maana alinifanya 2015 niende kumpigia kura huku nina kachanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Slaa ana njaa, hawezi kurudi , njaa mwanamalegeza! Na take it from me, Losawa sana sana anatfuta njia ya kumwokoa shemeji yake! Ni hilo tu!Nimejiuliza tu!
Yajayo ni mengi [emoji23][emoji23][emoji23]Pamoja na mambo mengine siasa ni ujasusi, information is power, ni vyema kujua next move ya mpinzani wako. Kwa kuwa CCM imekula chumvi ya muda mrefu upande huu wako makini sana.
Lowassa atamkabidhi mwenyekiti wa CCM ripoti nzito ya miaka mitatu yenye kurasa 5000 muda wowote kuanzia kesho, ripoti hiyo imeshikiria ubunge wa wabunge kibao wa Chadema. Ripoti za vikao vyote vya Chadema kuanzia siku ya kwanza Lowassa anatambulishwa Chadema ,mikutano yote ya Chadema hasa ukizingatia Lowasa ndio alikuwa analipia ukumbi basi Chadema waliongea yote wakijua ni mwenzao kumbe jasusi.
Yule Mtulia wa UKAWA sijui alikua CHADEMA sijui CUF ila mimi nilimpigia kura sababu chama changu kilikua CHADEMA na yeye alikua anawakilisha huo Muungano wa UKAWA.Mbunge yupi wa kinondoni alijitoa CHADEMA mbona sijawahi kusikia hivo kinondoni kumeshawahi kuwa na Mbunge wa CHADEMA kweli?
Kuna ccm makalai wanafurahia lowasa kuludi ccm kumbe hawajuwi kua chadema inajiandaaa kuchukua Inch natayari washamuandaa Mh Lisu kuamgombea sasabasi huu nimpango maalum wa chadema ambao kamatikuu imekaa na kumpeleka mzee Lowasa lengo ni kutibua mipango ya ccm katika uchaguzi mkuu. (Yajao Yanafuraisha)
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasubir kauli ya dkt slaa kinyesi kimemfuata sebuleni atakimbilia wapi Act au chauma?
Ule uchovu wa akili na mwili kutokana na uzee kweli Lowassa anaweza kazi hiyo unayodai.
Hili swali hata mimi linanipa wakati mgumu sana.hili swali alijibu ndugu yetu Mwanakijiji....
Haikuwa kazi ngumu kihivyo, Kila kitu alikuwa anawekea kwenye flashdrive tena kwa baraka za mwenyekitiUle uchovu wa akili na mwili kutokana na uzee kweli Lowassa anaweza kazi hiyo unayodai.