Yaani mimi toka mbunge wa Kinondoni alivyojitoa Chadema pale niliichoka siasa, maana alinifanya 2015 niende kumpigia kura huku nina kachanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbunge yupi wa kinondoni alijitoa CHADEMA mbona sijawahi kusikia hivo kinondoni kumeshawahi kuwa na Mbunge wa CHADEMA kweli?