Kaa mbali na mimi,endelea kuwa hayo hayo...
Mkuu Lowassa Sasa hivi hamna haja ya kuhangaika naye,sasa hivi Upinzani wanadeal na Magufuli.Na Lowassa Sasa hivi hatakuwa active kwenye Siasa.Sanasana CDM walikuwa na wakati mgumu 2020 kama EL angeendelea kubaki Upinzani maana Kwa Sasa kiukweli pumzi ya kugombea 2020 ilikuwa ndogo na je angeng'ang'ania kugombea ingekuwa shida.Hapa katikati CDM iliyumba mno,sasa ni muda wa kujipanga upyaUkweli hapa losers ni upinzani, ccm wana dola tayari hawana cha kupoteza. Upinzani haswa chadema wana kazi ya ziada kugeuza treni.
Wakati mwengine nadhani inafaa mtu ukaamua kujiweka mbali na jambo fulani ambalo kwa muda mrefu ulilitumikia/lilikutumikisha maana huyu siyo anaitumikia siasa tena bali siasa ndo inamtumikisha yeye.Ilo lipo wazi ila Lowassa ameshapoteza ushawishi ndani ya ccm na ata nje yupo yupo tu hana jipya..
Kama aliweza kukatwa yeye sembuse Magufuli?
Hii ni faida kwa upinzani 100%.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuwa nikifuatilia comments humu nimekuwa nikiamini ww ni MTU makini ila huu ujinga uliondikwa na hii account hufanani nao labda kama kijana wako ndio kaandika ....hebu tuthibitishie Hela aliyochukua Mbowe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani walimfukuza?
Linalofuata ni kumwachia SIOI SUMARI . Nadhani Losawa ana sababu ya msingi , na ndiyo hiyo! vinginevyo asingelirudi!🤣🤣🤣🙏🗣Yani nimefurahi hadi basi.Iko hivi:
"Wakati Rais magufuri akijinasibu kupambana na ufisadi alituhumu CHADEMA kupokea fisadi na akasema mafisadi yanakimbia ccm yanaenda upinzani" Badae pale UDSM akamuagiza apeleke ujumbe chadema kwamba wambie wenzako wasipofuata Sheria wataishia jela😆"
Sasa nimefurahi sababu fisadi waliesema amekimbilia chadema karudi nyumbani kwao alikolelewa na kufundishwa lakini mwisho amekimbia jela😂😂This side is 4 men ,boys will run away.
Kifupi mzee malengo hayajatimia na mbele kaona giza kwa siasa za Sasa ziwahitaji akina Lisu,Zitto,Heche,Sugu,Mbowe,Mdee, na wengine waliojikana kutetetea haki hata ukiwawekea pisto kichwani tumtakie heri mzee Lowasa ni wakati wa Ccm kufuta matusi na kejeli walizotoa dhidi ya Lowasa 😜😜mana Mwali ndo kesharudi ndani kwao Kwahiyo ile harufu mlioishikia pua Sasa ni kuachia pua imegeuka kua nzuri.
Kifupi Lowasa amewini game nani wa kumvika kengere🤣🤣🤣🙏
Siame GK.
Nyie mmechukua nchi hii kwa halali au kwa miguvu????nA ndicho kilichobaki upinzani KUJAMBISHA na sio harakati za kuchukua nchi na ktk kujambisha hakika Wanajitahidi ila kuichukua nchi Labda mawingu yae ya ZAMBARAU.
Hahahaa...... Siasa za CCM huanzia mashuleni usisahau hilo!
Muda ni mwalimu mzuri, weka kumbukumbu ya thread hii!Kweli?.
Kaa mbali na mimi,endelea kuwa hayo hayo...
Yani chadema ukimuondoa mbowe,mnyika na lema wazuri,wewe na wenzako ni vilaza wa kutupwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Njia nyeupe kwa Lissu 2020 na sio kwa magufuri .Mungu ni mwema Jamani nafasi hiyo wazi kwa Lissu ,Mungu ampe nini?
si sawa kulazimisha watu wa view tovuti yako kisanii hivyokaka siasa ni kitu kingne