Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Hii yote ni tamaa ya mbowe na genge lake kutuletea jitu lakuvuruga chama eti mabadiriko. Ona sasa chama kimesinyaa uyo mabadiliko wenu kawakacha heshima kwa jemedali wa vita dr.Silaa hakika aliona mbali. Mbowe akitoka jela ajiudhuru wenyekiti kaijerui sana chadema kwa tamaa zake
 
Ukweli hapa losers ni upinzani, ccm wana dola tayari hawana cha kupoteza. Upinzani haswa chadema wana kazi ya ziada kugeuza treni.
Mkuu Lowassa Sasa hivi hamna haja ya kuhangaika naye,sasa hivi Upinzani wanadeal na Magufuli.Na Lowassa Sasa hivi hatakuwa active kwenye Siasa.Sanasana CDM walikuwa na wakati mgumu 2020 kama EL angeendelea kubaki Upinzani maana Kwa Sasa kiukweli pumzi ya kugombea 2020 ilikuwa ndogo na je angeng'ang'ania kugombea ingekuwa shida.Hapa katikati CDM iliyumba mno,sasa ni muda wa kujipanga upya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilo lipo wazi ila Lowassa ameshapoteza ushawishi ndani ya ccm na ata nje yupo yupo tu hana jipya..


Kama aliweza kukatwa yeye sembuse Magufuli?

Hii ni faida kwa upinzani 100%.



Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati mwengine nadhani inafaa mtu ukaamua kujiweka mbali na jambo fulani ambalo kwa muda mrefu ulilitumikia/lilikutumikisha maana huyu siyo anaitumikia siasa tena bali siasa ndo inamtumikisha yeye.

Kwa umri wa huyu faza ilikuwa heri kwake atangaze kukaa pembeni na kuachana na huu mchezo wa siasa unaopasua kichwa especially kwa Tanzania ya sasa.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Nimekuwa nikifuatilia comments humu nimekuwa nikiamini ww ni MTU makini ila huu ujinga uliondikwa na hii account hufanani nao labda kama kijana wako ndio kaandika ....hebu tuthibitishie Hela aliyochukua Mbowe

Sent using Jamii Forums mobile app

Hongo haina receipt ya EFD boss. Ni hivi, kubali kataa habari ndio hiyo na hili sijaliandika kwa bahati mbaya. Piti post zangu zote kama utahitaji uone kama nimewahi kuwa na msimamo tofauti na huu.
 
🤣🤣🤣🙏🗣Yani nimefurahi hadi basi.Iko hivi:

"Wakati Rais magufuri akijinasibu kupambana na ufisadi alituhumu CHADEMA kupokea fisadi na akasema mafisadi yanakimbia ccm yanaenda upinzani" Badae pale UDSM akamuagiza apeleke ujumbe chadema kwamba wambie wenzako wasipofuata Sheria wataishia jela😆"

Sasa nimefurahi sababu fisadi waliesema amekimbilia chadema karudi nyumbani kwao alikolelewa na kufundishwa lakini mwisho amekimbia jela😂😂This side is 4 men ,boys will run away.
Kifupi mzee malengo hayajatimia na mbele kaona giza kwa siasa za Sasa ziwahitaji akina Lisu,Zitto,Heche,Sugu,Mbowe,Mdee, na wengine waliojikana kutetetea haki hata ukiwawekea pisto kichwani tumtakie heri mzee Lowasa ni wakati wa Ccm kufuta matusi na kejeli walizotoa dhidi ya Lowasa 😜😜mana Mwali ndo kesharudi ndani kwao Kwahiyo ile harufu mlioishikia pua Sasa ni kuachia pua imegeuka kua nzuri.

Kifupi Lowasa amewini game nani wa kumvika kengere🤣🤣🤣🙏


Siame GK.
Linalofuata ni kumwachia SIOI SUMARI . Nadhani Losawa ana sababu ya msingi , na ndiyo hiyo! vinginevyo asingelirudi!
 
Sasa Silaa aliondoka Chadema akisema haiwezi kukaa na fisadi je Sasa Itakuwaje kwa mfano
 
Mzee wetu akapumzike tuu.
Umri Mkubwa,
Tunamtakia Maisha mema ya Ustaafu ktk Siasa.

2015 history iliandikwa.

[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Jitahidi utapata buku 7
Kaa mbali na mimi,endelea kuwa hayo hayo...
Yani chadema ukimuondoa mbowe,mnyika na lema wazuri,wewe na wenzako ni vilaza wa kutupwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
tapatalk_1549972891359.jpeg


In God we Trust
 
Njia nyeupe kwa Lissu 2020 na sio kwa magufuri .Mungu ni mwema Jamani nafasi hiyo wazi kwa Lissu ,Mungu ampe nini?

Magu atashinda mapema sana. Lisu hana ushawishi na upinzan sana kwa CCM. Wala hataweza pata watu wengi kama Mamvi na Dr Slaa
 
Back
Top Bottom