Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Moto uko pale pale. Hivi unamchukuliaje Lissu?
 
Wana Chadema wana misiba miwili sasa...hii inaitwa misiba dabo dabo...dabooo dabooo....dabo dabo dabo eeeeh....eheeee dabo dabo.

Ila Lowhasa aisee mbona amewakatili sana waliomsafisha sana kwa ufisadi wake uliotukuka


Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Jiwe asijione kwamba yupo salama sana!

Kuna coup de'tat hapo,hataamini macho yake!

CCM sio ya jiwe,asijidanganye!

Waache wapige makofi sana,karudi,karudi.....
Mkuu kwa wenye maono ya mbali wanajua hatari iliyo mbele ila jiwe anachekelea na kuona kapata kumbe sivyo...
 
Lisu hela hana ya Kula,mavazi,malazi na ada za watoto anaomba omba hiyo hela ya kugombea uraisi atatoa wapi?

Nyerere alipotafuta uhuru wa Tanzania hakuwa hata na senti tano alichangiwa. Lissu bila hata senti atagombea na atapata kura za kutosha. Kama sio Lissu urais 2020 basi awe Zitto.
 
Acha ufalasi, andika humu sio watu wajivute kusoma huko

Mods ondoeni huu uzi
 
Na Sema hivi wanasiasa wote wa Africa ni mafisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…