Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpinzani pekee kwa Magufuli alikuwa Lowasa na sio Lissu wala Zitto wanaojibaraguza mitandaoni. Lowasa hayupo sana mitandaoni ila field yupo vizuri sana kuliko Lissu na Zitto.
2015, Lowasa alionyesha nguvu ya upinzani dhidi ya Ccm, mtanange ulikuwa mkubwa kweli na haikushabgaza yeye kupata kura nyingi ila wabunge na madiwani wachache kulinganisha na asilimia ya kura alizopata.
Lowasa kurudi Ccm ni pigo kubwa kwa upinzani haswa Chadema na neema kubwa kwa Ccm.
Kwa sasa upinzani una option chache mno, Lissu ambaye uwezo wa kuzunguka nchi nzima hatokuwa nao 2020 na hata akiwa nao bado watanzania hawajamuelewa.
Zitto, huyu ana umaarufu mkubwa sana mitandaoni ila field ukiondoa Kigoma mjini hana impact yoyote. Akisema asimame na Magufuli ni kipigo cha mbwa mwizi.
Mbowe?
Sumaye?
Ila kiuhalisia Lawama zote anastahili kuzibeba Mbowe kwa tamaa zake na kama ana busara lazima akampigie magoti Dr Slaa.
Njia ya Ikulu tayari imesafishwa na Lowasa Leo.View attachment 1035464
Sent using Jamii Forums mobile app
😀Sasa nadhani rafiki yangu nayemuheshimu Dr Slaa atarudi CHADEMA,maana asiyempenda kaja.
boss rejea txt ya juu, nko natype izo sababuunatakiwa uunde kitu ambacho kwanza tukfungua site tunaona zingine kali zaidi ,kisha tukifungua tunakuta nondo za nguvu sa we unatuwekea copy and paste
shukrani kaka
Mkuu kwa wenye maono ya mbali wanajua hatari iliyo mbele ila jiwe anachekelea na kuona kapata kumbe sivyo...Jiwe asijione kwamba yupo salama sana!
Kuna coup de'tat hapo,hataamini macho yake!
CCM sio ya jiwe,asijidanganye!
Waache wapige makofi sana,karudi,karudi.....
Hasa wana siasa wenyewe ndio wajanja janja,..kuna maneno ya Mh.Bwege nikiyakumbuka nacheeekaa saana,.Maza Pepsi" hahaha Mother Confessor, ndio hivo siasa ni ujanja ujanja!
Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema walishamtakasa lowassa hadi list of shame waliifuta ....CCM wamemrejesha baada ya utakaso.
Huu ni mwezi wa kwaresma
Lisu hela hana ya Kula,mavazi,malazi na ada za watoto anaomba omba hiyo hela ya kugombea uraisi atatoa wapi?
Hapo Haikuelezwa sababu za Lowassa za kurudi tena kwenye chama cha mafisadi..