Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliwasema hawa watu baadhi ya wafuasi wasiojua siasa wakanitukana lakini ukweli ni kwamba Lowassa na Sumaye hawajawai kuwa wapinzani.Fisadi mwingine huyo yeye na Sumaye yalikuwa makosa makubwa sana kuwakaribisha Chadema mafisadi hawa wawili. Hawana impact yoyote ile ndani ya Chadema.
Chama cha Watanzania.Ajabu unataka Mbowe akuachie weye.Sijajua weye kama nani uachiwe.CHADEMA ni chama cha nani?
Lowassa hakuwahi kuwa mpinzani, hela yake ndio ilimpa nafasi ya kugombea urais kupitia cdm.
Mlipokuwa mnasema "Ulipo tupo"?? Upinzani wa kweli Tanzania hakuna!! Sasa wanahangaika na Membe 2020 haya chukueni na huyo Membe. Vipi Salary Slip Lowassa karudi kundini vipi wewe unamfuata Lowassa? Wewe si mfuata upepo tu!Fisadi mwingine huyo yeye na Sumaye yalikuwa makosa makubwa sana kuwakaribisha Chadema mafisadi hawa wawili. Hawana impact yoyote ile ndani ya Chadema.
Aisee tuliokuwa na Msimamo na kutaka mabadililo ya kweli tulipinga Lowassa kuja CHADEMA since day one. Sasa Mbowe achia chama kwa damu ya Mageuzi halisi iongoze Chama
Eeeh...say not sooo. Lakini hili lilitarajiwa. Kila la kheri.Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa Amerejea Rasmi CCM Leo.
Amepokelewa Lumumba Makao Makuu Madogo Ya Chama Cha Mapinduzi Na Katibu Mkuu Dr Bashiru Ally.
View attachment 1035375View attachment 1035381
Ujui ulisemalo wewe CHADEMA ni zaidi ya uijuavyo!Sasa huu ndio mwanzo wa mwisho wa upinzani na ikiwezekana Chadema...
Kwa kiasi fulani huyu mzee alikuwa anasaidia upinzani kutochezewa rafu za hapa na pale kutokana na influence yake...
Hawa jamaa wa ajabu sana! Katikati ya msiba wanaleta mapicha picha!