Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Alikua mzigo tuu siasa za ukombozi hawezi huyu babu.
Hata mchango kwa chama hana.
Tunashukuru kutupa wabunge madiwani wengi 2015 na jina chadema.sasa ni maarufu kuliko chama cha mafisadi ccm.
Ile mahakama ya mafisadi itapata kesi kweli maana iliundiwa ambao leo ndiyo waliokua mstari na mkiti katibu PM
Alluta Continua
 
Kwa kweli ametupatia mtihani mgumu ambao tutafaulu kufeli, maana hatujui tufanye Nini na tuwaambie Nini wale tulionena maneno haya mbele yao.

Eeeee Mungu turuhumie, sisi ni wanasiasa
Maendeleo hayana chama..Piga kazi tujenge nchi!!!
 
Waache wamalizane!
 
Je dr slaa atarudi chadema mana alienda ccm kisa lowassa awez kaa na fisadi sasa amerudi tena ccm cjui itakuaje


Sent from my iPhone using JamiiForums
lini lowassa alienda ccm?acha kiwewe
 
kwahiyo lowasa atawekwa zizi gani,la wale ng'ombe walokatwa mikia au wale walio na mikia?
 
Ni Faida Sana kwa upinzani. Ila Mzee baba kavurugwa, Koroshow haimuachi salama! Dollar na Shillingi ndio kabisaa. Sasa Lowassa na Rostam wanakumbukwa kwa michezo yao kuelekea 2005, Mzee kaona labda watamsaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ktk Siasa hizi hakuna urafiki wa kudumu.
Sote tumeyashuhudia na tutaendelea kuyaona mengi tuu.
 
Ng'ombe aliyekatwa mkia karejea zizini ila atakuwa anajishtukia kichizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…