Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,819
- 7,638
Mbowe apumzishwe kwa lazima sasa akiachwa 2020 atamleta Membe kwa lazimaCHADEMA walibugi sana kuanza kupokea mamluki wa CCM........
Imewacost
Lissu ubunge wenyewe bado ni kimbembe acha uraisMoto uko pale pale. Hivi unamchukuliaje Lissu?
Nadhani wanakuskia wadau wa chademaMbowe apumzishwe kwa lazima sasa akiachwa 2020 atamleta Membe kwa lazima
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu anayekubalika sana akubali tume huru ya uchaguzi.
Kwahiyo CCM atagombea Uraisi? itafakari tena "revelation" yako!Baada ya watanzania kuanza msahau nakuanza mzungumzia tundu Lisu mzee naona hana chake 2020 hakuna sijui mkakati au nini