Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

leo lowasa sio oil chafu?
sio yule aliyejinyea jukwaanj?
sio mgonjwa?
sio aliyekatwa mkia?
WAFRIKA TUNA MATATIZO SANA DAH
Yani chadema iwe na maumivu kwakuondoka lowasa?
 
Mbona hatuzioni Twitter za kina Zitto na Lissu. Au tuungojee waraka mrefu wa Lissu akianza na historia ya kumsafisha Slaa, na kumkebehi Lowasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasiasa watanzania wadhaifu sana, wewe wape mikate tu utawapata kirahisi.
 

Wajinga tu ndio hawajui kwanini hawa wanafanya hayaa, wanamjaza anayependwa kujazwaa mwisho wa siku wanafanikisha yao kwa kumtukuzaa Bi kirembweeee
 
Tutarajie bunge lijalo la bajeti kupongezwa na kila mbunge wa kijani bila aibu mpaka wale waliomtukana musukuma, lusinde n.k.
 
Obstacle kubwa ya siasa za upinzani hatimaye sasa amerejea alipostahili kuwapo!

Binafsi sikuwahi kuona mchango wake baada ya zile kampeni za 2015

Kuondoka kwake naamini kutawainua upya wanasiasa wa kweli walionuna baada ya ujio wake!

J. J. Mnyika
G.Lema
B. Jacob

Na wengine wengi naamini watarudi ulingoni maana kikwazo kimeondoka!

Wasiwasi uliobaki ni alitumwa kufanya nini!?

Je, wataweza kuinuka tena au ndo kashawamaliza sasa anarudi kupumzika na kuchunga ng'ombe baada ya kukamilisha kazi yake!?

Na huyo mwenye cheo kama chake, yeye bado assignment haijakamilika!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe ni Chadema hahahahaaa. Tokea lini?
 
Mbona dr slaa baada kuona hayo na kuamua kuachana na siasa mlimtukana na kusema kanunuliwa na ndio maana lowasa baada kuona viongozi wa chadema hawajielewi akasisitiza sana elimu elimu elimu mkadhani anawambia ccm kumbe lilikuwa dongo kwa mbowe

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…