Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Taifa liko kwenye majonzi mazito ya ndugu yetu Ruge. Kama haitoshi mzee wetu na Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa Leibniz mwana CCM. Yote ni kheri lakini tusisahau kuwa

1 US$ = 2,344.95 Tshs.

Kule Mtwara ndugu zetu wamerudishiwa korosho mwezi February huu hawajui soko watalipata wapi.



Leo Mwenyekiti wa Chadema Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe yuko uraiani.

Shukrani

Mtiifu Sky Eclat.
 
 
Tatizo unakurupuka hujitambui na mambo mengi huyajui! Kikwete aliposema wanataka kulivua gamba ccm alimaanisha kuwafukuza mafisadi Rostam, lowassa, chenge na wengineo walipomtisha kwamba yeye mwenyewe ni fisadi akahofia lakini zwazwa wewe huyajui hayo!

Leo limekuwa gamba, hahahahahaha uwiiii!
 
Uzazi wa kuku unategemea yai ili uwepo, na yai linategemea kuku ili liendelee kuwepo ...[emoji41]
 
Ule msemo wa " everything in politics is being engineered" utajidhihirisha very soon.

Naona the mastermind are back!

Mchezo upo dakika ya 40 now..


Mzee Baba ana hama Kambi

Kama Ni Msafiri wa Treni tunasema 'Treni inafanya shanting' Yaan inahama Reli taratibu

Mzee kastuka Joka la Mdimu linakusanya Sumu Mdomoni so anakusanya 'Mawe ya sumu ya Nyoka' Mapema
 
ccm wote n vpofu, hakuna mwenye uwezo wa kumwambia mkulu kuwa ww hawakupend ishia awam moja, na kwa utu wa madaraka, jiwe hawez kukubali kuachia ngazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi watatoka ukawa kumfuata unajua Lowasa ni sawa na ngekewa ana nyota ya pesa ana nyota ya kuvuta watu hana destructive energy nyota ya kuvuruga au kufail kila jambo,watu kariba hii ni asset kwa nchi,ndani ya mwaka tu nchi itaajaa pesa,anaweza kuirudisha nchi kwenye mstari maana imenyooshwa hadi imepinda karibu ya kukatika,Lowasa atawaunganisha watu ataleta umoja wa kitaifa, heshima ya mtumishi na tija makazini,atainua elimu, Kilimo, uchumi nk.Mungu asaidie
 
Mwambie kwanza mwemyekiti wao wa ccm taifa kuwa ccm imemshinda kwa kukabidhi chama wehu kama akina msiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnahitaji nguvu gani wakati polisi na Tume ipo mifukoni mwenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana, lakini pia haiwezekana maana kuna mawili
1.alitemwa kimkakati ili chadema wampokee wamsafishe afu arudi akagombee hata awamu moja
2.alitemwa kimkakati kuimaliza nguvu chadema wahangaike kumsafisha huku ccm ikikosa upinzani na ikatua madarakani kwa mara nyingine salama salimini huku Lowassa yeye akitumika kama mbuzi wa kafara tu/ au jasusi
Lakin hapo namba moja lolote laweza tokea pia maana madaraka si kitu cha mchezo jamaa anaweza wa geuka akavunja ahadi hiyo,
So uwezekano mkubwa ni kwamba amerudi nyumbani baada yakumaliza kilichompeleka upinzani basi ameenda kupumzika mazima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe ndio Ruge wa Chadema

Akiondoka Chadema itabaki Kama PPT Maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…