Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Wewe hebu fikiria Lissu anataka kugombea na lowasa yupo nini kingetokea ,lazima kwa namba moja au nyingine kingeathiri chama na kuleta taharuki ,sasa mambo yamejiseti yenyewe Lissu njia nyeupe 2020 .Twende na Lissu 2020 .
Mimi naona kwa hilo Lowassa amekua mstaarabu,pengine ameona alipewa heshima.na Chadema ya kugombea 2015 so hakutaka kuleta mtafaruku ndani ya Chadema akaamua kusepa mapemaa kabla ya kuja kuleta mzozo kati yake na lissu.
 
Kwa heri Ruge karibu Lowasa, liko wazi Lowasa angerudi Ccm thus alianza kumtanguliza Karanga ili jimbo LA Monduli lirudi ccm,wanaweza wakawa wamerudi kwa jiwe ili wamuangamize kumbuka hawa mapacha watatu ni watoto wa mjini wako kitambo hawajaja mjini wakubwa,ngoja tuchek sarakasi zitakavopigwa uenda jiwe akaliwa kichwa akiingia 18 ya mapacha hawa.Muda ni mwalimu
Jamaa amesharudi full stop.

Hapa mapacha walishindwa kumsaidia mwenzao Lowassa kupata urasi ije kua leo?

No way.
 
Kwa kuwa lowasa karudi ccm na ilitegewa kwa vyovyote vile agombee urais kupitia chadema na asingekubali kumuachia Lissu agombee ,sasa njia nyeupe kwa Lissu ,Mungu ni mwema .
Hata Lowassa angekuwepo , hii ilikuwa zamu ya Lissu piga ua garagaza
 
Mimi naona kwa hilo Lowassa amekua mstaarabu,pengine ameona alipewa heshima.na Chadema ya kugombea 2015 so hakutaka kuleta mtafaruku ndani ya Chadema akaamua kusepa mapemaa kabla ya kuja kuleta mzozo kati yake na lissu.
Siasa za 2020 ni za mauaji na tabu nyingi sana kunahitajika vijana wenye nguvu
 
Tundu lissu achunge mdomo kitendo cha kutamka atagombea urais kinatosha kumfanya lowasa kulala mbele
 
Back
Top Bottom