Mr. Whitehair rais wetu wa mioyoni, ha ha ha. Elimu, elimu, elimu.Dogo matokeo yako ya kidato cha nne tunayo
Mimi naona kwa hilo Lowassa amekua mstaarabu,pengine ameona alipewa heshima.na Chadema ya kugombea 2015 so hakutaka kuleta mtafaruku ndani ya Chadema akaamua kusepa mapemaa kabla ya kuja kuleta mzozo kati yake na lissu.Wewe hebu fikiria Lissu anataka kugombea na lowasa yupo nini kingetokea ,lazima kwa namba moja au nyingine kingeathiri chama na kuleta taharuki ,sasa mambo yamejiseti yenyewe Lissu njia nyeupe 2020 .Twende na Lissu 2020 .
Jamaa amesharudi full stop.Kwa heri Ruge karibu Lowasa, liko wazi Lowasa angerudi Ccm thus alianza kumtanguliza Karanga ili jimbo LA Monduli lirudi ccm,wanaweza wakawa wamerudi kwa jiwe ili wamuangamize kumbuka hawa mapacha watatu ni watoto wa mjini wako kitambo hawajaja mjini wakubwa,ngoja tuchek sarakasi zitakavopigwa uenda jiwe akaliwa kichwa akiingia 18 ya mapacha hawa.Muda ni mwalimu
Kingu amehamia wapi mkuu?Haa,Kumbe hata Hama ya Kingu ilikua kuzima kifo Cha Mzee wa "APEDOMIA"!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Lowassa angekuwepo , hii ilikuwa zamu ya Lissu piga ua garagazaKwa kuwa lowasa karudi ccm na ilitegewa kwa vyovyote vile agombee urais kupitia chadema na asingekubali kumuachia Lissu agombee ,sasa njia nyeupe kwa Lissu ,Mungu ni mwema .
Siasa za 2020 ni za mauaji na tabu nyingi sana kunahitajika vijana wenye nguvuMimi naona kwa hilo Lowassa amekua mstaarabu,pengine ameona alipewa heshima.na Chadema ya kugombea 2015 so hakutaka kuleta mtafaruku ndani ya Chadema akaamua kusepa mapemaa kabla ya kuja kuleta mzozo kati yake na lissu.