Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Sarcasm mkuuToday 1US$ = 2,344.95 Tshs
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sarcasm mkuuToday 1US$ = 2,344.95 Tshs
Well kulikuwa na mvutano pia ndani ya chama, si wote waliokubali siasa zake. Kupendwa kwa Lowasa vijijini ilikuwa ni enzi zile kila kitabu na zama zake. Tundu Lissu ndiyo habari ya leo mjini na vijijini.Mimi nilimkataa Lowassa toka siku Chadema walipompa cheo kikubwa kuliko wenye chama
This is what happened...... hahah thinking loud
Kesi ya Mbowe na Matiko jana **maagizo toka naniliiii
Rudi sisiem nitawaachia wafungwa wa kisiasa
Ukirudi wananchi watanipigia kura kwa wingi wengi wanakupenda (kura zitaongezeka 2020- akili ya kifisi)
Ukiulizwa utawaambia bila mimi Mbowe angeozea jela
Nitakuteua uwe ** Katibu mwenezi wa chama ukazoe kura vijijini
Kesi zoooote za Richmond Esscrow IPTL Koro-Show zitatoweka
Nitakusafisha kwa dodoki la chuma
Nitakulinda na kukutunza
Kwa niaba ya awamu ya tatu nne na tano wote mpo swalama
**Hizi ndio ahadi lukuki
Movie inaendelea kuna mtu atateleza kwenye ganda la ndizi na movie itakuwa imeishia hapo
Tutapata Tz mpya....
Nani mjinga hapa? Nauliza
Bwana kakobe aliwahi kusema kwamba hajawahi kuonana na mgombea wa ukawa. Nadhani sasa wataweza kuonana vizuri.Best lakini Lowasa alituaga? Alipoingia tulimkaribisha sasa dharau gani hii ametufanyia.
Mimi nilimkataa Lowassa toka siku Chadema walipompa cheo kikubwa kuliko wenye chama
This is what happened...... hahah thinking loud
Kesi ya Mbowe na Matiko jana **maagizo toka naniliiii
Rudi sisiem nitawaachia wafungwa wa kisiasa
Ukirudi wananchi watanipigia kura kwa wingi wengi wanakupenda (kura zitaongezeka 2020- akili ya kifisi)
Ukiulizwa utawaambia bila mimi Mbowe angeozea jela
Nitakuteua uwe ** Katibu mwenezi wa chama ukazoe kura vijijini
Kesi zoooote za Richmond Esscrow IPTL Koro-Show zitatoweka
Nitakusafisha kwa dodoki la chuma
Nitakulinda na kukutunza
Kwa niaba ya awamu ya tatu nne na tano wote mpo swalama
**Hizi ndio ahadi lukuki
Movie inaendelea kuna mtu atateleza kwenye ganda la ndizi na movie itakuwa imeishia hapo
Tutapata Tz mpya....
Nani mjinga hapa? Nauliza
Bring back our Dr. Willbroad Slaa.CCM imezoa mzoga wake.
Chadema imebaki huru baada ya fisadi kuu kuondoka sasa ni wakati wa chama kurudi kwenye misingi yake.
Ni mawazo yako na tunayaheshimu lkn 2020 hakuna uchaguziView attachment 1035662
Hawa walioko kwenye picha ni watu makini sana katika siasa za Tanzania. Picha hii inaonekana wakati tumebakiza takriban mwaka mmoja na nusu kuingia kwenye uchaguzi mkuu.
Jana balozi wa Uingereza alitoa neno kuhusu kufungiwa kwa gazeti la The Citizen. Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza aliongezea kuwa katika mkutano wa waandishi wa habari utakaofanyika Canada wataliongelea swala la uhuru wa habari Tanzania.
Wakati huohuo Tundu Lissu ameieleza duniawkuhusu shambulio lake la kupigwa risasi 38 akiwa katika mapumziko ya mchana bungeni. Alieleza piawjukosekana kwa ulinzi wakati wa shambulio, kunyimwa stahiki yake ya matibabu, na ku pia kusimamishiwa mshahara wake wa ubunge. Na aliekeza waziwazi nia yake ya kugombea u raisi 2020 kwa tiketi ya CHADEMA.
Kule kusini kwa yakiyotokea baada ya sakata la korosho. CCM inahitaji nguvu ya ziada kupata kura.
Ninavyoona rais amaeamua kuunganisha hekima za watu makini katika kukabiliana na changamoto za sasa kuelekea uchaguzi 2020.
Soma tena nilichooandika kuhusu kuimarika shilingi yao. Ile ndio sarcasm nayoongelea
Best lakini Lowasa alituaga? Alipoingia tulimkaribisha sasa dharau gani hii ametufanyia.
Best ukiwa na account ya foreign currency kwasasa ni kosa la jinai. Zinamezwa.BoT is trying its level best to stabilize the shilling but it is very costly to taxpayers.
Hahahhh ndio maana nimesema hizi ni akili za kifisi thinking huko atapata ufalmeWell kulikuwa na mvutano pia ndani ya chama, si wote waliokubali siasa zake. Kupendwa kwa Lowasa vijijini ilikuwa ni enzi zile kila kitabu na zama zake. Tundu Lissu ndiyo habari ya leo mjini na vijijini.
Mdanganyika endelea kuwaamini wanaokulisha matango poli. Mwanasiasa anayesimamia upinzani wa kweli ni prof peke yake hajawahi kuwa mnafiki. Propaganda zenu ndio zimepunguza nguvu ya CUF ASILIA lakini ukweli ndio utakaoshinda na ndio kinachotokea. Sasa hivi utasikia mbowe na maalim wanaunga juhudi.......Lipumba Huyu huyu au unasemea yupi?
Heeee kumbe kweli Mh aliuza chama kwa Lowasa?
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Hahahhh ndio maana nimesema hizi ni akili za kifisi thinking huko atapata ufalme
Sisiem watatoana macho kama si masikio
* Ni wakati wa Chadema kuzaliwa upya
Amechukizwa na kusikia TL yupo tayari kuchukua form
Subiri timbwilitimbwili la lumumba (ganda la ndizi linamsubiri mtu)
Exactly, angelitangaza kuacha siasa na kupumzika. Sidhani kama kitendo cha jana kinamsaidia to achieve anything, labda kama ni issue ya Mkwe wake SIOI SUMARI, then this cam make some sense!The best option was to retire with honour from politics instead of going back . shame
Bwana kakobe aliwahi kusema kwamba hajawahi kuonana na mgombea wa ukawa. Nadhani sasa wataweza kuonana vizuri.
Mimi CCM nikupongeze kwa msimamo wako chadema ni kweli post zako zote Pamoja na kuwa chadema ulikuwa humtaki hujawahi mkubali.Nikupongeze kwa kuwa na msimamo uwe sahihi au la unakomaa tu .Kwa hili mwanachadema wewe nakupongeza.Wanaokutukana humu waangalie post zako haujawahi mkubali Lowassa.Ni haki yako kukubali au kukataa mtu hata kama Mbowe hakukusikiliza.