Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Well kulikuwa na mvutano pia ndani ya chama, si wote waliokubali siasa zake. Kupendwa kwa Lowasa vijijini ilikuwa ni enzi zile kila kitabu na zama zake. Tundu Lissu ndiyo habari ya leo mjini na vijijini.
 
Uko vizuri na yule mkwewe fisadi Lowassa Sioi Sumari kuachiwa huru na kufutiwa kesi yake na akina Kitilya former TRA commissioner ya usafishaji wa pesa za kifisadi bilioni 6 kama sikosei na walikuwa rumande tangu 2016.

 
Ni mawazo yako na tunayaheshimu lkn 2020 hakuna uchaguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie ni katika wale tuliomkataa huyu fisadi. Halafu hana hata shukrani kwa aliyemkarisha kasepa huku Mbowe akiendelea kusota Segerea! Kweli shukrani ya punda ni mateke.

Best lakini Lowasa alituaga? Alipoingia tulimkaribisha sasa dharau gani hii ametufanyia.
 
BoT is trying its level best to stabilize the shilling but it is very costly to taxpayers.
Best ukiwa na account ya foreign currency kwasasa ni kosa la jinai. Zinamezwa.
 
Reactions: BAK
Well kulikuwa na mvutano pia ndani ya chama, si wote waliokubali siasa zake. Kupendwa kwa Lowasa vijijini ilikuwa ni enzi zile kila kitabu na zama zake. Tundu Lissu ndiyo habari ya leo mjini na vijijini.
Hahahhh ndio maana nimesema hizi ni akili za kifisi thinking huko atapata ufalme
Sisiem watatoana macho kama si masikio
* Ni wakati wa Chadema kuzaliwa upya

Amechukizwa na kusikia TL yupo tayari kuchukua form
Subiri timbwilitimbwili la lumumba (ganda la ndizi linamsubiri mtu)
 
Kwa ufupi ni wakati wa wananchi kutambua wanaokula keki ya Taifa ni wachache

TUAMKE
NI WAKATI WA KUWAKATAA WATU KAMA HAWA UWE CCM AU CHADEMA ACT CUF TUWAKATAE WATU WA NAMNA HII.
UMOJA WETU NDIO SILAHA
UTENGANO WETU MATOKEO YAKE NI HAYA
 
Lipumba Huyu huyu au unasemea yupi?
Mdanganyika endelea kuwaamini wanaokulisha matango poli. Mwanasiasa anayesimamia upinzani wa kweli ni prof peke yake hajawahi kuwa mnafiki. Propaganda zenu ndio zimepunguza nguvu ya CUF ASILIA lakini ukweli ndio utakaoshinda na ndio kinachotokea. Sasa hivi utasikia mbowe na maalim wanaunga juhudi.......
 
Heeee kumbe kweli Mh aliuza chama kwa Lowasa?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.

Unauliza hirizi Tanga?
 
Wa kuokoa ccm isife 2020 ni Lowasa au Membe, nje ya hapo wasahau hii ccm mpya haiuziki kabisa si mjini wala kijijini, wakicheza kusini hawapati kura hata moja korosho ndio maisha ya kusini,Kanda ya ziwa hawapati wamewachomea wavuvi nyavu zao,Kanda ya ziwa Samaki ndio maisha, MBEYA ,IRINGA, Kanda ya kaskazini, Kigoma singida hawataki hata kusikia wamezuiwa kuuza mazao yao nje yameoza Mashambani.ccm wafanye Kazi kubwa sana kurudisha imani kwa wananchi. Isipokufa 2020 haitokufa tena
 

Timbwili si LA kitoto watagawana fito we subiria 2020.kati ya wafia chama na wafia tumbo,ccm Asili wasugua bench na ccm mpya ccm makinikia,tusubirie vita vya panzi.
 
The best option was to retire with honour from politics instead of going back . shame
Exactly, angelitangaza kuacha siasa na kupumzika. Sidhani kama kitendo cha jana kinamsaidia to achieve anything, labda kama ni issue ya Mkwe wake SIOI SUMARI, then this cam make some sense!
Ameandika historia ya watu wa hovyo katika siasa za Tanzania
 
Bwana kakobe aliwahi kusema kwamba hajawahi kuonana na mgombea wa ukawa. Nadhani sasa wataweza kuonana vizuri.

Dr slaa alisema hawezi kaa meza moja na waliyemchafua itabidi ahame tena ccm aende kwa Rungwe au updp
 

Cc:Kenna
 
Reactions: BAK
Msukuma bashite kibajaji sijui wana hali gani huko waliomdhihaki karudi home
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…