Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Kwahiyo hajinyei tena?
 
Wakati Lowassa akihamia CHADEMA, UVCCM walikuwa mstari wa mbele kumponda na kumpa majina mabaya. Wakati huohuo, ilikuwa ni furaha kwa BAVICHA kumkaribisha.

Katika mijadala inayogusa uchama, makundi haya mawili yamekuwa opponent. Lakini katika swala hili la Lowassa kurudi, naona wapo kimya. Wamenywea. BAVICHA wameendeleza furaha yao huku UVCCM wakificha hisia zao! Forum imeshikiliwa na BAVICHA.

Je, hii inaashiria nini?
Je, wao kama vijana wenye mawazo mapya, wamehisi nini kuhusu kurejea kwake?

Je, Bashe kumshambulia Mh. Kikwete, ni mwanzo mpya wa makundi ndani ya CCM?
 
Ina maana umesahau hii ya kufutwa kesi ya Sioi, Shose na Kitilya?? Vuta subira utashangazwa kama ulivyoshangazwa na ya babu Seya.
 

Ramli hii imekaa vizuri!
 
Zaidi ya nusu ya viti vya cdm bungeni 2020 havitakuwepo . Anayebisha twende MKEKA BETTING. Najua mijawpo ya agenda cdm 2020 ni Koroshow ,Dollar Ajira na hali ya maisha.
Usanii wa kuyajibu maji yanachemka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumbu mtaropoka yote suruali zimewabana pamoja na mashati,2020 sijui mtatokaje endeleeni kujifariji na mpondeni Sana Lowassa lakini haitawasaidia chochote na chama chenu Cha ukabila

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Oii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…