Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
Tutafute ugali tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Let him go, nilishasema hata mbowe aende CCM nitaendelea kuiamini CDMBest lakini Lowasa alituaga? Alipoingia tulimkaribisha sasa dharau gani hii ametufanyia.
Kwahiyo hajinyei tena?Chadema wao walimnunua kwa kiasi gani?? Mapovu tuu. Kwa taarifa yako Lowassa ameona hakuna faida ya kuendelea kukaa kwenye chama mfu ukitilia maanani sheria ya vyama vya siasa imepita hivyo ulaji wa ruzuku umebanwa sasa anakaa Chadema kwa lipi? Na 2020 kuna uwezekano Chadema wakupata wabunge wawili ama watatu tu. Amerudi nyumbani kumenoga!!
Jiite na wewe basi kama unaona Jamaa anafaidi.Duh aisee eti jamaa naye anajiita jasusi, ha ha ha.
Ndio Mkuu,Kwahiyo hajinyei tena?
Ina maana umesahau hii ya kufutwa kesi ya Sioi, Shose na Kitilya?? Vuta subira utashangazwa kama ulivyoshangazwa na ya babu Seya.Mimi nilimkataa Lowassa toka siku Chadema walipompa cheo kikubwa kuliko wenye chama
This is what happened...... hahah thinking loud
Kesi ya Mbowe na Matiko jana **maagizo toka naniliiii
Rudi sisiem nitawaachia wafungwa wa kisiasa
Ukirudi wananchi watanipigia kura kwa wingi wengi wanakupenda (kura zitaongezeka 2020- akili ya kifisi)
Ukiulizwa utawaambia bila mimi Mbowe angeozea jela
Nitakuteua uwe ** Katibu mwenezi wa chama ukazoe kura vijijini
Kesi zoooote za Richmond Esscrow IPTL Koro-Show zitatoweka
Nitakusafisha kwa dodoki la chuma
Nitakulinda na kukutunza
Kwa niaba ya awamu ya tatu nne na tano wote mpo swalama
**Hizi ndio ahadi lukuki
Movie inaendelea kuna mtu atateleza kwenye ganda la ndizi na movie itakuwa imeishia hapo
Tutapata Tz mpya....
Nani mjinga hapa? Nauliza
Kwa heri Ruge karibu Lowasa, liko wazi Lowasa angerudi Ccm thus alianza kumtanguliza Karanga ili jimbo LA Monduli lirudi ccm,wanaweza wakawa wamerudi kwa jiwe ili wamuangamize kumbuka hawa mapacha watatu ni watoto wa mjini wako kitambo hawajaja mjini wakubwa,ngoja tuchek sarakasi zitakavopigwa uenda jiwe akaliwa kichwa akiingia 18 ya mapacha hawa.Muda ni mwalimu
Sio wewe peke ako mimi nilihoji hiyo ishu huku mtaani kwetuKuna siku mimi nilihoji humuhumu JF.
Huyu Mzee mbona havai sare za chadema?[emoji1321]♂️
Hujui shost kuwa Lowasa ni mwana CCM kuanzia March 1, 2019