thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,113
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ameacha amewavuruga kweliNaunga mkono hoja. Huyo mzee ndio aliyekuja kupandikiza siasa za kikondoo cdm.
Nakusaka kila konaToroka uje,bila unafiki siasa haijatimilika.Bado Lissu jamani kama navyomuona anavyovua gwanda[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa,ni haki yake!
Hii inanifanya nizidi kupenda opposition!
Tunaopenda opposition ni watu fulani hivi very tough,tunavumilia magumu yote,tuna vitu fulani hivi vya kipekee unlike others.
Mambo kama haya yananifanya nizidi kujivunia opposition no matter what!
Ruge mtoto mdogo hajafika huko, hivyo kwenu hakuna kifo wala Mungu?Naskia kuna wanaosema hana IMPACT sasa balaa ni pale mtapoona kasimamishwa 2025 ndo mtajua CCM ni ma MAFIA na mtaona impact za huyu mzee mlomuita Fisadi..OLE wenu nisikie mnamuita fisadi.
Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa Amerejea Rasmi CCM Leo.
Amepokelewa Lumumba Makao Makuu Madogo Ya Chama Cha Mapinduzi Na Katibu Mkuu Dr Bashiru Ally.
Aidha, katika mapokezi hayo walikuwepo Rostam Aziz, Mzee Phillip Mangula, Waziri Mkuu Majaliwa Kassim n.k
View attachment 1035375View attachment 1035381
Unaweza soma pia:
Edward Lowassa na Frederick Sumaye mbioni kurejea CCM - JamiiForums
Edward Lowassa: Wanaodhani nitarudi CCM wanapiga porojo na kuota ndoto - JamiiForums
Lowassa hana namna zaidi ya kuipigia magoti CCM, Mkwewe Sioi Sumari mpaka sasa yupo lockup - JamiiForums