Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Polepole leo ni siku ya mateso Kwake usiyempenda kaja
 
Siku zote nimesema adui mkubwa wa taifa hili ni CCM na nitaendelea kuamini hivyo hadi itakapokufa. CCM ilizaliwa Februari 1977 dola moja ya Marekani ikiwa Tsh. 7/= na miezi michache baadaye iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ikavunjika. Mafao ya waliokuwa wastaafu wa Jumuiya hiyo yakakabidhiwa kwa serikali ya CCM wakati huo chini ya Rais Ali Hasan Mwinyi mwaka 1985.

Lengo la kukabidhiwa serikali ilikuwa ni kuwafikishia walengwa kwani serikali ilikuwa na nyenzo za kuwatafuta na kuwapata waliko. Bila aibu na kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii, serikali ya CCM iliamua kutafuna mafao ya wastaafu hao. Hizi zilikuwa ni pesa ambazo walizozitolea jasho wengine kwa muda wote wa maisha yao na wengine wakifanya kazi katika mazingira magumu.

Naam, hiyo ndiyo historia ya CCM katika kuwadhulumu wananchi wa taifa hili na kitendo hicho ndicho kilifungua milango ya laana inayoitafuna CCM hadi leo. Haijalishi nani yuko CCM, haijalishi nani anaiongoza CCM, haijalishi pesa wanazodhulumu wananchi ni za misaada, ni za pensheni, ni za matibabu, ni za elimu, ni akiba...kwa CCM, kama kokoro, ni kuzoa tu iwe kihalali au kiharamu.

Leo dola moja ya Marekani ni Tsh. 2,400 na laana inaendelea...
 
NIAMBIE MUHUTU? UNASALIMIWA NA GABRIEL CLEMENT NDAHANI
Watu wakikosa hoja wanaingilia mambo ya ukabila. Siasa ni mchezo kama karata. Soma alama za nyakati. Yes EL will never become the next president. But in politics, he configures something to work against the opposition, especially in the same party.
After all, wapenda madaraka sana wengi ni wababaishaji. Sisi wengine Tanzania kwanza.
And never again what we saw in the past. Wenye hangover zenu mtulie
 
Uwiiiiiiii kama namuona polepole na Slaaa haya sasa karudi na mahakama ya mafisadi ipo, kuku kaingia ndani
 
Kuna ccm makalai wanafurahia lowasa kuludi ccm kumbe hawajuwi kua chadema inajiandaaa kuchukua Inch natayari washamuandaa Mh Lisu kuamgombea sasabasi huu nimpango maalum wa chadema ambao kamatikuu imekaa na kumpeleka mzee Lowasa lengo ni kutibua mipango ya ccm katika uchaguzi mkuu. (Yajao Yanafuraisha)

Sent using Jamii Forums mobile app

Ccm ni wajanja. Hapokelewi na kupewa vyeo faster faster kama Chadema. So issue ya kutibua usitegemee.
Lissue hana wafuasi wengi kama alivyokuwa Lowassa. Angalia matokeo aliyokuwa anapata jimbon mwake kila uchaguzi na uangalie kwa Lowasa. Tena kwa Lowasa hakuwa na mpinzani kabisa.
Issue ya kuchukua nchi sio kirahisi kama unvyofikiria. Utaandika tu kwa keyboard lakin sio uhalisia.
 
Pengine kete ambayo cdm waliicheza vibaya ni kumchukua huyo bwana, na kuacha mbachao (mzee wa karatu na mzee wa tabora) Kwa msara upitao (mzee wa monduli).
Dedication - Hold on by luck Dube.
 
Subiri upepo wa sumaye and co wakule kwao...
Kesho kaa karibu na Runinga yako kusikiliza bendera fata upepo kutoka pande zote za nchi hahaha...

Siasa za Tanzania bhana.
-ajira karibia na uchaguzi
-kuunga juhudi wakati wa uchaguzi
-kulipa wastaafu wakati wa uchaguzi

Yote hayo kwa kikundi cha watu chenye lengo moja yaani chama cha siasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah yaani siasa za nchi hii aki vile kama kuna muda una stress unaweza cheka hata pekeako,.

Naona walimu wamekumbukwa ili wakasaidie kampeni,.baada ya hapo watarudi kuwakagua vyeti feki ili wawapunguze tena...only in Tanzania,.
 
Back
Top Bottom