Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishapanda tayari, imeshakuwa official currency in the moon.Shillingi itapanda thamani!
Hahaha usipokuwa mjanja mjanja au mfiti siasani utapata tabu sana,bwege alisema vip mama!Hasa wana siasa wenyewe ndio wajanja janja,..kuna maneno ya Mh.Bwege nikiyakumbuka nacheeekaa saana,.
Dah hawa jamaa kuna kitu kikubwa wanataka kutupiga tena,ameenda kuungana na Rostam,chenge,tubaijuka &Co. Ma mastermind sa hivi itakuwa kimyakimya na jiwe alivyo mkali kufunika tutalizwa...naona kama vita ya 2015 bado mbichi....mzee kahisi tishio la jasusi kaona na yeye aunde kambi yake yenye nguvu...hiyo ndio siasa...sasa...kumbuka rostam na apson ni team lowassa na wameshafika kwa mzee....nadhani hapa kuna makubaliano...
Aibu ya pole pole maana hapo alipo ni malipo ya kumtukana Lowasa. Sasa sijui atatumia ndimu gani kumezea matapishi yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajitahidi Sana !! KazanaMpinzani pekee kwa Magufuli alikuwa Lowasa na sio Lissu wala Zitto wanaojibaraguza mitandaoni. Lowasa hayupo sana mitandaoni ila field yupo vizuri sana kuliko Lissu na Zitto.
2015, Lowasa alionyesha nguvu ya upinzani dhidi ya Ccm, mtanange ulikuwa mkubwa kweli na haikushabgaza yeye kupata kura nyingi ila wabunge na madiwani wachache kulinganisha na asilimia ya kura alizopata.
Lowasa kurudi Ccm ni pigo kubwa kwa upinzani haswa Chadema na neema kubwa kwa Ccm.
Kwa sasa upinzani una option chache mno, Lissu ambaye uwezo wa kuzunguka nchi nzima hatokuwa nao 2020 na hata akiwa nao bado watanzania hawajamuelewa.
Zitto, huyu ana umaarufu mkubwa sana mitandaoni ila field ukiondoa Kigoma mjini hana impact yoyote. Akisema asimame na Magufuli ni kipigo cha mbwa mwizi.
Mbowe?
Sumaye?
Ila kiuhalisia Lawama zote anastahili kuzibeba Mbowe kwa tamaa zake na kama ana busara lazima akampigie magoti Dr Slaa.
Njia ya Ikulu tayari imesafishwa na Lowasa Leo.View attachment 1035464
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameharibu siasa za chadema za una harakati na zikawa za NDIYO BWANA uoga uoga matokeo yake ndiyo hayo kesi lukuki.
Nyerere alipotafuta uhuru wa Tanzania hakuwa hata na senti tano alichangiwa. Lissu bila hata senti atagombea na atapata kura za kutosha. Kama sio Lissu urais 2020 basi awe Zitto.
Hahaaaaaaa haya bhnaTunaangalia na anae hama ana nini??tukisikia tundu anahama kweli tunaweza kumkatia hata rufaa kwa lazima(teh teh)..ila hata muhame woootee wakibaki wa3 tuu wenye ubora inatosha kabisaa kuwajambisha,.[emoji13][emoji13][emoji13]
Jihurumie mwenyewe, na mawazo yanayokusumbua wala hayawasumbui wale unaofikiria.Wakuu Mimi niko nawaza tu kwamba itakuwaje mzee mbowe akipata taarifa za mzee lowassa kurudi ccm.
Mzee mbowe ndie alikuwa wa kwanza kumkaribisha mzee lowassa cdm tena kwa shangwe na vigere gere.
Sasa hivi mzee wetu mbowe yuko gerezani na sijajua kama huko gerezani huwa wanapewa nafasi ya angalau kusikiliza redio / kuangalia TV.
Sasa hapa nilipo namuhurumia sana mzee mbowe pindi atakapotoka gerezani na kukuta mgeni wake katoroka nyumbani bila hata ya kuaga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ndio siasa.Watu walipoteza pesa,kazi , biashara nk mchezo wa ngumi roundi ya kwanza ilikuwa 2015 tukutane 2020 usichoke karibu kwenye ulingo wa ngumi za siasa round ya pili 2020 kati ya CCM na Upinzani Usivue gloves tukutane 2020 round ya piliNiseme tu ukweli.nimeishiwa nguvu.
Ile kauli ccm itatawala milele.uenda ikawa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app