Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Swali halijibiwi na swali. Jib kwanza la kwangu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Lisu umemjua lini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe Lisu umemjua lini?
Mawasilino na CCM yalianza baada ya uchaguzi na yeye kugundua kuwa siasa za upinzani si lelemama hivyo akakata tamaa. Mtu aliyezoea kuwekwa viti vya mbele mbele na kusifiwa hawezi kuhimili shuruba za upinzani!Una theory nzuri pia. Lakin kwangu mm nilimuona kama asset kwa ccm. Even if alidefect lakin bado ccm walikuwa na access nae.
Kwa upnde mwingine inaweza kuwa kweli ulichsema.. lakin mm naangalia kiundan zaid..
Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno ya kujifariji hayo, CCM imezaliwa lini ? Unafikiri jana ? CCM imezaliwa mwaka 1977 , usifikiri imezaliwa sawa na chadema , hata mtei muasisi wa chadema alikua CCM , kama ulikua hujui ndio hivo.Makamanda au nyumbu kwa jina lingine,huwa hawawazi nje ya box hata utikise kama vichwa vyao.
He can'tAsitumie siri za Chadema kumkwamisha chaguo la Mungu Tundu Lissu.
Utaambiwa sasa siyo fisadi tena, na utaona mkwewe anaachiwa
Roho ilimsuta kumkaribisha Lowassa kwenye vyombo vya habari kuwa ni jembe?Niliisubiri hii Siku kwa hamu kuwaona kina maalim seifu na mbowe wakiumbuka. Lipumba roho ilimsuta aliona mbali. Hence proved prof ni prof tu
Asitumie siri za Chadema kumkwamisha chaguo la Mungu Tundu Lissu.[/QUOTE
Kwani apangalo Mungu binadamu huweza kukwamisha?